Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukinunua kitu used jiandae kuingia gharama za kufanya matengenezo ambayo hujayasababisha wewe.
1 Reactions
4 Replies
686 Views
Sehenu ya 1. Kwa jina naitwa Lucia Bakande, ni binti wa baba msukuma na mama mnyarwanda, mtu anaponichimba kutaka kujua kabila huwa nashindwa nitaje ni kabila gani maana sijui kuongea kisukuma...
14 Reactions
61 Replies
10K Views
Habari ndugu zangu. Katika moja na mbili acha waendelee kutudangia huku wakijifanya hawajui wanacho kitaka ili kuhalalisha umalaya wao. Wanawake wote mkae mkijua mtadanga sana , mtahangaika sana...
3 Reactions
9 Replies
692 Views
Sometimes najikuta nasugua machine muda mpaka kuna kauka kule chini. Basi nimepata demu analoana vizuri mwanzoni. Nikisugua sana akimaliza mara moja au mbili anakuwa mkavu. Mimi bado nakuwa...
13 Reactions
43 Replies
4K Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
29 Reactions
214 Replies
7K Views
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi...
78 Reactions
802 Replies
23K Views
Je, unakubaliana na huyu mzee?
5 Reactions
11 Replies
859 Views
Iko hivi.. Wakati niko na mahusiano na huyu bibie,nilijua alikua na mahusiano mengine na wanaume kama wawili hivi. So baada ya muda me nikaamua kupita hivi na Mia then tukabaki kama washkaji...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
JF wasaalam 🙏 🙏 Duniani Kuna mengi yakustaajabisha na mengine mengi ya kufurahisha! Katika kuzunguka huko kule nikanasa Kwa single mother mmoja mwenye heshima zake na chanzo Cha yeye kuwa single...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilizaliwa Simanjiro. Baba alifariki nikiwa bado mdogo (mwaka 2003), na bahati mbaya mama naye alifariki mwaka 2005. Sina ndugu yoyote wa kuzaliwa tumbo moja, labda ingekuwa afadhali. Mama...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Usiku huu wakati narejea magetoni, mwenzangu amecharuka na hataki kuelewa lolote, anadai nimetoka kukutana na mwanamke mwingine. Sababu ni harufu ya Poda ambayo imebaki mwilini mwangu, kweli...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE. 1.Usitoe ukabaki huna chochote 2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna. 3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho. 4.Usitake...
0 Reactions
4 Replies
432 Views
Wakuu kuna makabila yana mambo ya ajabu sana hasa hasa ya kanda ya ziwa hususuani wale weupe ti wanaopatikana kanda ya ziwa wale akina macho ya makengeza yaani kwao mtoto wa kike ni source of...
2 Reactions
4 Replies
589 Views
Habari wakuu. Hiki kisa nimekikuta huko katika pita pita zangu mitandaoni. HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi...
11 Reactions
78 Replies
3K Views
Back
Top Bottom