Hawara aliyempiga kibuti aukwaa u-Jaji... Kidume ajipanga upya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawara aliyempiga kibuti aukwaa u-Jaji... Kidume ajipanga upya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Jun 20, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Kuna njemba m'moja wa karibu kanitonya leo hii asubuhi ya kuwa anajipanga upya kurejesha majeshi..........kwa mzazi mwenzie ambaye ana karibu miaka 5 tangia ampige kibuti..................utetezi wake ni kuwa hawakuachana kwa ubaya na yakuwa mwenzie sasa huo ugali wa ujaji ni mkubwa sana haipendezi akiula pekee yake......................

  Jiingine adai ni sababu za kiubinadamu nazo zimemkalia kooni kwa kipindi hivi ya kuwa mwenzie amekuwa akimlilia kwenye simu kila siku ya kuwa aache kumnyanyasa kwa kumpiga kibuti kwa hiyo kumrudia atakuwa kaitika wito na......kumtendea ubinadamu aache kuwa na masimango ambayo kidume anahisi yanamletea tafurani hata yeye.........

  lingine anadai haifai jaji aonekane ni kapera wakati mzazi mwenzie yupo ila ni harakati za pimbi tu ndizo zilimtia majaribuni........................

  hii ni sahihi kweli???????????...............kurudia matapishi yako mwenyewe eti mkate umewiva na tumbo lina wakawaka kwa njaa....................sina uhakika kwenye hilo............Nisaidieni namna ya kumshauri kidume mwenye macheche nguli.......
   
 2. LD

  LD JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Namshangaa huyo mdada kwa nini anarudia matapishi..........khaaa miaka mitano bado amehifadhi mtu kwenye box la moyo wake tu. Ahii mwambie huyo dada aache upuuzi bwana, afanye kazi kwa bidii amlee mwanae. Atampata mwenye kuheshimu PENZI lake asirudie matapishi.
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Haya ndo yale nilisema hapa kuwa,jamii ina makengeza kwenye baadhi ya mambo.Ili upate cheo fulani ni lazima uwe na ndoa.Ujinga mkubwa huu.Ndoa ni nini?Eti unapokua na mke unakua na heshima na unajiheshimu,ujinga mwingine huu.Upofu huu sijui utaisha lini?
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  We move in circles and at some point we tend to intersect. Ndo maisha yetu chini ya jua yanavyotusukuma.
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sawa tu, ikiwa mungu anasamehe kwanini sisi tusisameheane. Zimwi likujualo halikuli likakwisha, huyo itakuwa pia watoto wa mjini walishamuweza akaona bora arudie old is gold. Mimi sioni shida endapo wenyewe wameridhiana!
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  [MENTION]LD[/MENTION] labda anaangalia masilahi ya mtoto/watoto wapate malezi ya baba pia kwa hiyo yeye anajitoa kafara kwa hilo.............
   
 7. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,364
  Likes Received: 6,548
  Trophy Points: 280
  Ndoa lazima mkuu, jamii inachukulia ndoa kama kipimo cha kupevuka kimaamuzi na kiuwajibikaji..mtu mwenye ndoa kutokana na mtazamo wa jamii na kwa kiasi kikubwa anauwezo wa kutoa maamuzi sahihi zaidi kukabiliana na situation fulani kuliko mtu ambae hana ndoa..na ikumbukwe kuwa ndoa ndio msingi wa taifa bora..kama ndoa ni bora basi kiongozi pia anakuwa katika state of mind nzuri ya kulitumikia taifa..kama huna ndoa..jamii inakuona mwingi na mara nyingi huwa hivyo...na irresponsible..hakuna jamii inaweza kukupa jukumu la uongozi kama huna ndoa...hata huko mbele wanaangalia hili jambo pia..kwa jamii nyingi za kiafrika huwezi simama katika vikao vya familia na kusikilizwa kama huna ndoa hata kama una umri wa miaka 70..bado unaonekana mtoto..lakini ukiwa na 20 na una mke basi ushauri wako pia unazingatiwa...kwahiyo no matter what ndoa ina nafasi kubwa sana katika role ya uongozi na mambo mengine..
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Duh baada ya mambo kuwa mswano....jamaa anataka kurudisha jeshi vitani kweli hii dunia wakati anasaga rami pekee.......jamaa na vishtobe wengine!!No way!!
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  MadameX huoni huyo kidume is a mere gold digger?
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  huyo dada akumrudia huyo mwanaume , nitamwona wa ajabu sana....

  ila kwa huyo mwanaume kutaka kurudi kwa bi-jaji haishangazi ndo wanaume wa siku hizi walivyo....wapo after money, pesa, mpunga, njurugu, ngawira, kaduguda.................

  swali kwa mwanaume: ana uhakika atapata hizo pesa anazotaka kumchuna bi-jaji?
  :flame:
   
 11. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kiongozi hapo kwenye bold, inaonekana kinachomrudisha huyo jamaa si mapenzi ya kweli kwa mtalaka wake bali hiyo njaa yake na hiko cheo kipya cha ujaji alichokipata huyo mpenziwe wa zamani.

  Kwa kutumia akili ya kawaida kabisa, inaonekana hata kama wakirudiana inawezekana kabisa wakatengana tena maana sababu za msingi zilizofanya wapigane vibuti hazijatatuliwa na pia kinachowaunganisha kwa sasa si upendo ila ni cheo cha ujaji na umaskini wa huyo mpiga kibuti na njaa zake!

  Ingekuwa ni busara huyo mpiga kibuti asishadadie cheo cha mtalaka wake na kuendeshwa na njaa zake bali atumie nafasi yake ya kufanya kazi kwa bidii na ajipatie kipato kwa jasho lake mwenyewe badala ya kugeuka mwanaume kama binti ili kulinda hadhi na heshima yake kama mwanaume rijali na pia kusimamia misimamo na maamuzi yake binafsi!
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Eiyer labda kuna sababu kuwa kasi ya kuhangaika itapungua ukiwa na mwenzio mnalala kitanda kimoja usiku kucha......bial ya mapumziko
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  HorsePower wakati mwingine njaa inakupa nidhamu hata kama ni ya uwoga.........kidume nionavyo safari akishikwa atashikamana maana khali yake haitii matumaini hata chembe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wanaume wapenda slope! nowdays ni wengi mno! its a shame kwa kweli, yaani umrudie mtu kisa tu kapandishwa cheo na moola imeongezeka, in maana akishushwa cheo atamkimbia???? NO WAY NOT ME KWA KWELI!
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  BADILI TABIA Bi jaji alivyokufa kwa kidume unafikiri ugali atamnyima kama siyo kumkabidhi waote aupangie matumizi aonavyo ili mradi kidume amkubali tu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Unarudia kuzungumzia mtazamo wa jamii ambao ni wa hovyo.Niambie namna ndoa inampa mtu hekima,busara,kujiamini,kujitambua n.k..Halafu uniambie kama hayo hayapatikani nje ya ndoa!
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  cacico usiseme hivyo kama angelikuwa ni mzazi mwenzio na kazi ya kulea watoto hata kuwapeleka shuleni na kudhibiti nidhamu nyumbani na ukijumlisha na heshima ndani ya jamii basi utajikuta umejisalimisha na yote yafikie tamati................lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Eiyer usisahau.........."Mapenzi ni kikohozi hayawezi kufibhika."
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mtalaka hatongozwi, anytime ukijiskia unarudisha majeshi, mwacheni jamaa akafaidi hizo wekundu wekundu,ujaji mchezo jamani?
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Eiyer usisahau.........."Mapenzi ni kikohozi hayawezi kufibhika."
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...