Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mpeni wosia kidogo kijana wetu Ndio kaanza life tu anataka kuoa waanzie from scratch.
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni. Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya. Wacha nijitoze...
22 Reactions
131 Replies
7K Views
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya. Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio...
39 Reactions
198 Replies
7K Views
Habari za saivi wana-JF, Mapenzi yana mambo mengi sana Wengine wanafuraha na wanaenjoy mapenzi na mahaba. Wengine hatujui siku wala saa tutaachwa. Wengine mnatumiana / mnanuliana zawadi...
4 Reactions
8 Replies
508 Views
Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi...
2 Reactions
30 Replies
16K Views
Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao ...
2 Reactions
6 Replies
574 Views
Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa. Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach...
53 Reactions
125 Replies
11K Views
Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
ROMBO watu wana uhaba kuondolewa upwiru. Maana wanaume zao wapo bize na kvant. Watu 400 utakua umesaidia Sana wilaya nzima ya Rombo
3 Reactions
6 Replies
561 Views
Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu...
9 Reactions
131 Replies
3K Views
Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao. Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo. Kuna...
2 Reactions
5 Replies
490 Views
Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400. Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jf, Nauliza katika kutungwa kwa mimba akili ya kuzaliwa na ya darasani (intelligence) mtoto anaridhi kwa baba au kwa mama? Tafadhali majibu ya kitaalamu.
0 Reactions
88 Replies
28K Views
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Nawasalimu nyote! Ndoa ni Jambo la furaha kwa baadhi ya watu. Si watu wote maana wazee wa kataa ndoa, nawaona wananicheki kwenye darubini kwa hasira. Siku ya harusi Ni full shangwe kwa maharusi...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
37 Reactions
123 Replies
7K Views
Habari zenu humu, Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao. Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi...
7 Reactions
55 Replies
10K Views
Huyu jamaa mpaka hapo alipo hajabaka wala hajatoka na watoto wenye miaka chini ya 18 Kosa la huyu jamaa ni gani? Kwamba aliwalazimisha au walimtaka? Kesi yake na Piddy ni tofauti Piddy...
4 Reactions
21 Replies
982 Views
Habari wadau.. kuna jmaa yang alitaka kuposa kwenye mji flan hapa Dom , akatafuta MSHENGA akapeleka posa na kukubaliana mahali.. Lakini changamoto inakuja muhusika anapotaka kutoa/kupeleka mahari...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom