Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Toka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hizi siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa...
71 Reactions
333 Replies
13K Views
Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa...
23 Reactions
187 Replies
7K Views
Hello team. Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine. Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo...
18 Reactions
146 Replies
5K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe 1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na...
15 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna jambo utajifunza hapa, Kisa cha kweli 2015 Ilikuwa niko kikazi kwenye kazi iliyobidi niwe mbali na nyumbani kama km 80 hivi vijijini huko mishe za TASAF. Tukiwa site na michakati ya kikazi...
42 Reactions
43 Replies
7K Views
Iko hivi, hapa zipo 4 apartments, yangu ipo Mwanzo kabisa. Huyu mke wa mtu alikuwa analeta mazoea na ikaribu usio na ulazima. Full kunichekea kila akiniona. Anaweza kurudi na mumewe anaweza...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Duniani kila mtu anapata wa kufanana naye na huu msemo kwangu mimi naendelea kuushikiria vizuri sana. Sasa leo tujifunze kitu kupitia simulizi nzuri sana ya wanandoa hawa wawili ambao wote ni...
2 Reactions
2 Replies
355 Views
Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?
0 Reactions
8 Replies
657 Views
Shigongo ametoa surprise msibani kwa Grace Mapunda (a.k.a Tesa). Shigongo ametamka bila hofu kuwa Grace alikuwa mpenzi wangu (mchepuko) . Watu wote (wake kwa waume) msibani wakabaki wameduwaa...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae...
1 Reactions
8 Replies
533 Views
habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanaume kazi yake ni kuzalisha (kutoa mbegu). Hata ukiwa umegawa mbegu kwa wanawake 10 tofauti wewe kaa kimya tu. Usianze kumfungulia codes zote huyo mwanamke unayetaka kuishi ama unayeishi naye...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
NI MAAMUZI MAGUMU LAKINI YAMETOKA MOYONI Ninawashukuru sana kwa michango yenu, nimefanyia kazi kila mchango na kuchukua maamuzi kadhaa kuboresha nilichopanga kufanya
95 Reactions
574 Replies
33K Views
Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"? Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa...
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kuna kipindi nilikuja kulalamika hapa kwamba kuna dada mmoja mwenye mimatako mikubwa ofisini kwetu simwelew. nilisema likuwa anapenda kuja ofisin kwangu halafu anatoa gesi(anajamba...
17 Reactions
82 Replies
10K Views
Sitasahau kisa hiki, kipindi hicho nimemaliza shule ya msingi na kubaki mkulima tu kijijini kwetu, nikaanza kutembea na mtoto wa shule, hamadiii!! akapata mimba. Siku hiyo mida ya jioni naona...
6 Reactions
93 Replies
10K Views
Habari zenu waungwana, Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito. Baada...
8 Reactions
65 Replies
4K Views
Back
Top Bottom