Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mchana wapendwa, Leo nasukumwa kusema haya. Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii...
14 Reactions
175 Replies
17K Views
Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date nae kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na...
18 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu. Wanaume matatizo yanayotukabili mbele ya wanawake nimeona niandike walau tusaidiane kwa sababu sisi ni dhaifu kwa wanawake hilo halina ubishi na huwezi ishi bila mwanamke...
11 Reactions
30 Replies
7K Views
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili...
20 Reactions
200 Replies
9K Views
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂 Sasa hivi my preference is 1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini 2. Amesoma kwa shida sana 3. Kapitia changamoto za maisha nyingi 4. Awe na...
21 Reactions
148 Replies
5K Views
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa...
22 Reactions
125 Replies
5K Views
Ndugu zangu salaam Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga. Binafsi...
26 Reactions
80 Replies
5K Views
Mnapokuwa kitandani, ni dosari zipi huwa zinawakera kiasi ambacho zinawafanya ama mvunje ndoa au kuchepuka?
11 Reactions
214 Replies
8K Views
Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?! Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
kwenye suala la mapenzi,woga wako mkuu ni upi?
8 Reactions
125 Replies
5K Views
Mapenzi Yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuangalia kwa jicho Pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, Namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina Cha maji kabla ya kuzama, Sasa basi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hey Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi... Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume...
69 Reactions
540 Replies
19K Views
YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka. Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha Mfano mzuri...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Umemuaga mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
3 Reactions
5 Replies
508 Views
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao. KIJANA KAA MBALI NA BINTI...
31 Reactions
141 Replies
5K Views
Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu. Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Habarini nyote ndugu zanguni Niseme machache kuhusu hizi aina mbili za Wanawake. A. Kibonge Anatakiwa awe msafi sana, awe na sauti ya mahaba, afanye vizuri mbuzi kagoma kwa kadri ya ufundi wa...
2 Reactions
7 Replies
679 Views
Back
Top Bottom