Tuesday, 12 May 2009 07:17 UK
BBC News Online
Emotional intelligence 'aids sex'
Being in touch with your emotions helps in the bedroom
Women who are more "emotionally intelligent" get...
Una tokea kupendana na mtu tena sana. mapenzi yenu yanaanza tokea mkiwa sekondari. Wazazi waka jaribu kuwa tenganisha waka shindwa. Chuoni mkaenda nchi tofauti lakini bado hilo laliku vunja penzi...
Nilihidhuria senf-off moja. Mshereheshaji alikoga roho ya kila mmoja aliyehuduria send-off hiyo. Mmoja wa wazazi alipopewa wasaa wa kutoa nasaha alisema yafuatayo. Mke kazi yake ni KUTII. Ina...
Hii nimeikuta kule kwa MICHUZI, nikaona niilete hapa ukumbini!
Habari za mishughuliko,
najua hii ni blog ya jamii,nina swali langu napenda niliweke kwenywe blog hii pendqa.
Tangu niolewe...
WanaJF naamini hii ni wiki ya akina MAMA ambayo kilele chake ni Jumapili hii. Kwa kifupi tu nisesme kuwa tuna kila sababu ya kumheshimu huyu MZAZI anayeitwa MAMA kwa jinsi yeyote ile. Sababu ni...
Wakati jamii ya kimataifa leo inasherehekea Siku ya Mama Duniani, hapa mkoani Mtwara katika wilaya za Tandahimba na Newala, baadhi ya wanaume wamedaiwa kuanzisha tabia ya kuoa wakati wa msimu wa...
Dear, its ma pleasure dat now i can wrote s'me to u! t's been a long dreamin' baht u' dea ar many 2 rmemba wen i woz wit u' those days at home n' days bak at sku' the meal we shared n' bed tym...
Have you ever noticed that women don't seem to make sense AT ALL when it comes to "dating?"
What's up with that?
I'm sure you've been in a situation where you really liked a woman, and you...
i have been in a relationship with a lovely man for 3 years. tulipofika miaka miwili na nusu nikatamani tufunge ndoa lakini mwenzangu hakuwa tayari. mapenzi yangu kwake yakapungua mno, yeye...
jamani naombeni ushauri wenu! huyu mtu ni rafiki yangu wa karibu hata kule kutoka kwangu anakufahamu na ni msiri wangu sina mwingine,
ninakuwa ofisini yeye anakuwa nyumbani na baadae shemeji...
His name is Nick Vujicic
And he was born without limbs and doctors have no medical explanation for this birth 'defect'. As you can imagine, he face many challenges and obstacles.
Their...
A Place Where Women Rule
All-Female Village in Kenya Is a Sign Of Burgeoning Feminism Across Africa
By Emily Wax
http://www.womanthouartgod.com/womenontop.php
Anyone who thinks that guys are only interested in talking about sports and cars is seriously out of touch. My close friends and I rap about relationships all the time. The conversations arent...
rafiki yangu ana mkasa unamuumiza kichwa najua hapa hapaharibiki neno, wanajamii tumsaidie..
....akiwa ni mama aliye na familia thabiti na amedumu katika ndoa kwa miaka zaidi ya 7, anatatizo...
Katika maisha ya ndoa huwa tunajikuta tunakutana na vikwazo vingi lakini kinachoongoza ni hili la responsibility- nani afanye kipi, nani alipie nini katika familia.
Kuna picha moja...
Kwa jamii nyingi hasa za kiafrika, hata nyumbani Tanzania, bado inaonekana ni jukumu lako mume kutimiza kama si yote, basi kwa asilimia kubwa mahitaji ya mkeo na watoto, pamoja na nyumba kwa...