Namtafuta neema aligawesa

Status
Not open for further replies.
una shida gani naye? namfahamu si amemaliza UDSM kwenye miaka ya 2000 na kitu?
 
Just tell me how she is (appearance) and if possible her home place here in TZ if you know

Ni kweli Neema aligawesa yupo Tokyo niliwahi kupata Hifadhi kwao na mumewe nilipokuwa huko kwenye workshop mwaka jana.
 
una shida gani naye? namfahamu si amemaliza UDSM kwenye miaka ya 2000 na kitu?

YAH nilitaka tu kufahamu habari zake maana ni muda mrefu hatujawasiliana wala kuonana. It is about 10 yrs. What I mostly remember is that I tried to seduce her bythattime BUT she was too mgumu with msimamo that she dont and cant till married.
 
Du kuna kila sababu alikukataa, maana kwa jinsi ninavyo mjua hii sio level ya mtu anayeweza kutoka naye.. nakushauri achana na mawazo ya kumtafuta hampo sawa
 
Save it for yourself now maana she is married! Halafu umeandika jina lake halisi what if mumewe akisoma?! Unataka watu wasilale vizuri kama watapitia hapa JF...

Ila thats the truth, ukienda Japan ukamsabahi na familia yake uamini vizuri ila nothing more..
 
I think it would be bad if she was my G. to spell her name. BUT lucky enough, she wasnt and even if we meet today I would not repeat to say those words of 10 yrs back.

My concern was just to remember people I met on those days
 
Unamfahamu vizuri? au huyo ni mwingine?

...nilijua tu!

...:D:D:D msanii yeye anacheeeeeka tu,...ha ha haa!

YAH nilitaka tu kufahamu habari zake maana ni muda mrefu hatujawasiliana wala kuonana....

...keshaolewa ndugu yangu, achana naye! wanamji wanasema 'habari ndio hiyo!'

...It is about 10 yrs. What I mostly remember is that I tried to seduce her bythat time BUT she was too mgumu with msimamo that she dont and cant till married.

...sasa yote ya nini hayo ilhali ushaambiwa keshaolewa? Take it easy...maisha ndivyo yalivyo.
 
sasa unacheka nini?

Inachekesha - 10yrs ! unamkumbuka LEO! Tuwe wakweli bwana, KASRI ulikuwa na ajenda nyingine! Au umetoka majuu na ma-dollar (kama aka Papaa Jack P) na unatafuta mutoto wa kuya-share naye?

Mutoto yupo downtown Tokyo anakula ma-YEN na si ma-Dollar!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom