Responsibilities ndani ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Responsibilities ndani ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Apr 29, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Apr 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Katika maisha ya ndoa huwa tunajikuta tunakutana na vikwazo vingi lakini kinachoongoza ni hili la responsibility- nani afanye kipi, nani alipie nini katika familia.

  Kuna picha moja nilitakaiweka hapa nimeshindwa inaonyesha kapo siku ya arusi wametoka na gari lao njiani wamepata pacha bwana arusi anaonekana amekaa anasoma gazeti wakati bi arusi na shela lake anabadilisha tairi la gari. Hivi ni yepi yanapaswa kushughulikiwa na Mzee na yepi ni domain ya mama?

  How should things be handled within the family kama wazazi wote wanafanya kazi?
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Kwa swali lako assumption ni kuwa watu wote ni sawa( ki mila, desturi, utamaduni na kiuchumi). Kama ni hivyo basi tofauti na zile zinazotutenganisha kimaumbile( kunyonyesha, kujifungua) kila mwanandoa anaweza kuchukua jukumu lolote. Ila assumption hiyo si ya kweli hivyo hayo niliyo yasema si ya kweli. Ukweli ni kwamba inategemea na jamii unayotokea majukumu ya mume na mmke hutofautiana.
   
 3. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2009
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  It all depends on how well you know each other....and also your lever of agreements (with each other).
  For example: I can sence when my wife is exhausted....so I won't ask anything...when I see the signs...I will bathe the children, prepare food for all of us and finally put them in bed.....this is because....if she wasn't ....then I would find all these things or at least 90% already done.
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Hii thread ni nzuri, sema ukishasema Responsibility, watu hao wanaingia mitini! :D

  Mw'j1, majukumu ndani ya nyumba ni yenu wote, hata kunyonyesha mtoto baba mtu unawajibika,...chupa si zipo bana :)

  Kama mama ni mtaalamu wa mambo ya garage, sioni ubaya wa huyo bi harusi kujitolea kufungua tyre. Sawa na mama akiwa ukumbini na wageni, wakati baba mwenye nyumba yupo bize jikoni akiandaa makulaji, kisha kuja kuandaa meza,... ni makubaliano tu, kwani wanaume wengi ndio wataalamu wa mapishi!

  Kwa kifupi, hakuna jinsia iliyo na jukumu zaidi ya nyingine. Kuheshimiana, kusaidiana na kuoneana huruma ndiko kunakohitajika kutimiza malengo yenu, bila kusahau mila na desturi (mlizokubaliana.)
   
Loading...