mahusiano na mapenzi

Melikiad

Member
May 8, 2009
21
5
jamani naombeni ushauri wenu! huyu mtu ni rafiki yangu wa karibu hata kule kutoka kwangu anakufahamu na ni msiri wangu sina mwingine,

ninakuwa ofisini yeye anakuwa nyumbani na baadae shemeji yake anataka kuja town kwavile yeye yupo maeneo hayo na atakuja town ninampatia namba ya shemejiye ampitie na kweli amemfikisha lakini sasa kila siku anaanza ku chati naye usiku wa saa tano akijua tumeachana na inanichukua mda kidogo kufika home utakuta katuma messege kibao! hivii hii inamaana nzuri kimahusiano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom