Nimepita mahala nikakuta my carpet na wadada wengine wanapiga story,kilichoniuma zaidi ni kusikia mimi naitwa buzi.na aliyetamka hivyo ni wife.Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
Ninapokuwa nimetulia, huwa napenda kuandika kidogo....
JIKO
Yapo aina nyingi, bei yazidiana,
Ya tofauti shilingi, pia kulitumia,
Kuna ya ujuzi mwingi, na ule wa kawaida,
Jiko lako aina...
Mwaka jana kuna rafiki yangu ailkutana na msichana mmoja aliyesoma nae!Kwa muda msichana alimganda sana mshkaji na "I LOVE YOU" kibao.Mwezi uliopita mshkaji anaambiwa hivi unajua fulani kaolewa...
Napita hapa shinyanga na muda huu nakuta mzinga arusi, Bwana arusi umri miaka 79 na ni mhubiri na bi arusi afisa mmoja wa serikali. Imefana na waungwana wanashangilia ile mbaya. Kwa wazungu huwa...
If you're buying a woman dinner twice a
week, giving her flowers, calling her every day,
and basically "chasing" her, then you can be about
80% sure that there's another guy in the
picture...
Habar zenyu wanathnker ninawatakia her ya pasaka na pole sana kwa uchovu wa jana japo pia leo bidae kama kawaida tunaendelea na dubai. Jana katka matembezi ya hapa na pale nikaingia ndan ya gal...
"The more attrective the voice for a lady, the higher the pitch and the more likely the chances she will cheat". Is it true? Please justfy it or dissaprove. Wana JF kuna ukweli wowote wa jambo...
jamaa anadai yupo kwa love relation mda wa mwaka na binti aliyenaye mara alipompata binti alijinadi kuwa ni mhanga wa love pia alishawadamp wakaka wa3 kwa kumfanya kikaragosi, sasa jamaa anasema...
Hello, need ur help guys
Nina rafiki ambaye tumekutana chuo, toka nijuane nae is about 2 years now, siwezi kusema ni best friend coz simjui ki undani, ila most of the time tukiwa campus ndio mtu...
Eti Mume wa yule mama aliyewaita watu nyumbani kwake kuchukua video live (ziko youtube) za kumfumania mumewe na kimada amefariki dunia? Katika hizo video mama huyo alisema kuwa pamoja na...
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je...
According to researchs,it's been found that the intense feelings of romantic love affects the brain in the same way drugs like cocaine or powerful pain relievers do.."The reason people are so...
Hii misemo imepitwa na wakati, eti mwanamke mmoja hawezi tumikia mabwana wawili, tuongee, ila mwanaume hawezi/ anaweza kutumikia wanawake wangapi? Limitless, mbona najua kuna wanawake wana zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.