Kwanini Wanaume Wanajichubua?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
 
Hivi kumbe ndo sababu sikujua
 
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?

mnakumbuka ila thread ya ''wanaume weupe.........'' nakumbuka wadada wengi sana walitoa hisia zao kuhusu hili.....labda wanaume hawa wanajichubua ili kuvutia vidosho!.......ama kweli ushorobaro kazi!
 
Nilibahatika kuhudhuria ibada ya mazishi ya mfanyakazi mwenzetu mmoja.
mchungaji aliyekuwa akiongoza misa alikuwa amejichua sana kiasi kwamba kwenye maungio kati ya shavu na jicho kumebadilika rangi, kumekuwa kwekundu mno kama kapiwa na bomu la tomato sosi
 
Mmmh!!! Hii tabia ipo MBEYA kwa wenzetu WANYAKI coz of BARIDI wanaamua wafanane na wenzao wa DAR!!!
Utawakuta asilimia kubwa ya vijana esp watoto wa shule na wale wa KITAA krimu imekubali hadi anachukiza!!!
Eti vitoto vya KIKE navyo sio kusema vimepata TOZI kitaa!!!

Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?
 
Kwanini Wanaume Wanajichubua?
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?

hilo swali ulilouliza hapo juu kwenye nyekundu, jibu lake ni hapo kwenye bluu? ama hilo la blue ni swali la pili?
 
Mbeya nako kuna mambo.
Ndio maana mabalaa hayakauki huko
Mmmh!!! Hii tabia ipo MBEYA kwa wenzetu WANYAKI coz of BARIDI wanaamua wafanane na wenzao wa DAR!!!
Utawakuta asilimia kubwa ya vijana esp watoto wa shule na wale wa KITAA krimu imekubali hadi anachukiza!!!
Eti vitoto vya KIKE navyo sio kusema vimepata TOZI kitaa!!!
 
Hilo swali jibu zuri utalipata kwa wakongoman ndo wanaotengeneza mikorogo aka sumu.
 
Hii ni tabia mbaya sana, jibaba jitu zima, unanunua krimu, ma diprozoni na makaroraiti halafu unayapaka usoni kwwako ili uwe mweupe.
Wasanii na watangazaji na mapedeshee ndio mnaoongoza.
Je kwanini ujichubue? Kwani ukiendelea kuwa mweusi hupati wanawake?

Swala sio kupata mwanamke.

Pesa walizo nazo zinawawasha wanashindwa wafanyie nini
 
Nilisha wahi kumsikia kijana mmoja akisema kuwa bora kuzaliwa mbwa Marekani kuliko binadamu Tanzania.
Nikamuuliza hivi mbwa ukimvalisha almasi je anajua thamani yake?
akashindwa kujibu kwa kuwa naye akili zake na za mbwa zinafanana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom