Kulaleki!! Kumbe mwanadada anavyokuwa na sauti ya mvuto ndivyo anavyokuwa na nafasi ya kudanganya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulaleki!! Kumbe mwanadada anavyokuwa na sauti ya mvuto ndivyo anavyokuwa na nafasi ya kudanganya.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kibirizi, Apr 26, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  "The more attrective the voice for a lady, the higher the pitch and the more likely the chances she will cheat". Is it true? Please justfy it or dissaprove. Wana JF kuna ukweli wowote wa jambo hili, tafadhali msaada nahitaji elimu juu ya hili jambo.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kibirizi leo uko na wadada tu kulikoni?? Ngoja tusubiri wadau waje waseme!
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  labda utusaidie Kibirizi,
  hiyo attractive voice ndo ikoje?
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 9,975
  Likes Received: 1,351
  Trophy Points: 280
  Wewe usitafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Cheater utamjua tu pale atakapo cheat.
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mm nina maoni tofauti wanawake wameumbwa kukuvutia ww kwa sauti,umbo,vazi nk ni njia mojawapo ya kukuvutia hata tausi hujitanua kuonyesha rangi za mabawa yake kuvutia dume nk sidhani kama akiwa na sauti nzuri ndio atakudanganya au kukusaliti.inategemea kama hajiigizi kukupenda ili akuchune lakini ni kwa asilima ndogo sana ya hao.
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  hahahahah lol
  kuna raha kweli JF

  jana kuna mtu kaleta "angalia condom" ka wataka kujua mtu wako ana cheat
  leo mleta "sauti" khaaaaaa
  Kesho nini tena????

  embu acheni kutafuta visingizio
  na sababu zisizo na msingi wowote..
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  kama yangu.
   
Loading...