Mapenzi=Uteja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi=Uteja!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jaguar, Apr 26, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  According to researchs,it's been found that the intense feelings of romantic love affects the brain in the same way drugs like cocaine or powerful pain relievers do.."The reason people are so attracted to cocaine is that it activates the area of the brain that makes you feel good",researcher Arthur Aron,PhD(state university of new york),said that the same reward area is activated when people are experiencing the intense desire of romantic love.The specific part which is affected by the feelings of romantic love and drugs is the cortical part of the brain.
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hapo inaonesha ni jinsi gani ni wachache wenye bahati kuputia hiyo drug (love), coz tokana na hio research inaonesha kua wapenzi wote wangekua kweli wanapendana cheating isingekuwepo because you feel so good and intense desires triggered by ur loved one to the extent HUTAKI MWINGINE.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
  labda hiyo research yake inaonesha ukweli kuhusu love.siri ya uteja ni kuwa muda unavyoendelea unahitaji dozi zaidi ili kufikia ile height ya mwanzo.na baada ya muda hupati ile stimu tena,ndo unabadili na kilevi chako.ndo maana mtu ana-cheat (pengine).
   
 4. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yote mnasema ila mimi nasema hivi; hayo yote ni ukosefu wa taaluma ya UAMINIFU, imagine kama kungekuwa na taaluma ya UAMINIFU unakaa darasani with concentration sidhani kama kuna mtu angeleta mchezo wa kufanya ujinga, pia sidhani kama kungekuwa na mtu mwenye hata certificate wote ni DISC nyingi tu.

  Sasa basi kwa nini wale wote wanaojisikia kutokuwa na uaminifu wamshirikishe Mungu ili awaponyeshe. Cheaters wote wanafeel MISIFA ya kijinga kujulikana anaweza kuwa na wanawake/wanaume more than 5 at a time bila aibu.

  Jamai Mungu awaponye awape kumjua na kutenda yaliyohaki.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Asnte kwa taarifa
   
Loading...