Mwanamke mmoja hawezi tumikia mabwana wawili? Mmmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke mmoja hawezi tumikia mabwana wawili? Mmmh

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jay One, Apr 25, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,074
  Likes Received: 4,651
  Trophy Points: 280
  Hii misemo imepitwa na wakati, eti mwanamke mmoja hawezi tumikia mabwana wawili, tuongee, ila mwanaume hawezi/ anaweza kutumikia wanawake wangapi? Limitless, mbona najua kuna wanawake wana zaidi ya 3 men, & anatoa service na si changu.
  Hii misemo kama
  1. Aliye juu msubiri chini....no mfuate huko huko juu, asipo shuka, alaaaah
  2. Boss is always right... Heee, how..? niwataje....
  3. Haya ni maoni yangu binafsi si msimamo wa chama/serikali ........ Na huyo ndiye msemaji mkuu....
  4.Mwanamke nyonga, t.ak.o hii sawa, uso je...!!!! Sasa mbona saloon wanahangaika na uso, kichwa tu?
  Jazieni mengine........
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mh! hapa leo me mweupeee!
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du Mr President elezea vizuri hueleweki, labda mm peke yangu nimekuelewa kuwa mwanamke mmoja hawezi kutumikia mabwana wawili au zaidi. sawa baadae umetuchanginyi tujazie aliye juu msubiri chini
  Mimi yangu kuhusu mwanamke ni kweli lazima we na mabwana zaidi ya mmoja kasoro MY WIFE kwanza

  • Huenda kamjogoo kako ni kadogo hashibi hivyo ni lazima achepuke
  • Huenda hujui Katerero hivyo hakojoi (Orgasm)
  • Humtengenezi kula Juice nziito hadi ukashukia Kula chumvini,
  • Kuna michezo mingine huwa hairuhusiwi mumu na mke mpaka apate watu wa nje km sisi ndo tumuenyeshe zile nyimbo za mzee Yusuf
  • Wewe ukipewa mzigo ambao hujapewa toka umjue utaanza kutangaza kuita wakwe na balozi.
  • Hii PASAKA mwachie mwenzako km umri bado akatanue atarudi tu kwani Haina SHOBO wa MAKOMBO
  NA HII INATOKEA KWA WOTE MUME /MKE AKAZUGE NJE KIDOGO
   
 4. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mafiga matatu ili ugali uive
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Aisifuye mvua.......
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  NAKUPA MFANO Y IT IS SAID THE 'BOSS' IS ALWAYS RITE


  A sales rep, an administration clerk, and the BOSS are walking to lunch when they find an antique oil lamp.
  They rub it and a Genie comes out.
  The Genie says, 'I'll give each of you just one wish.'
  'Me first! Me first!' says the admin clerk. 'I want to be in the Bahamas , driving a speedboat, without a care in the world.'
  Puff! She's gone.
  'Me next! Me next!' says the sales rep. 'I want to be in Hawaii , relaxing on the beach with my personal masseuse, an endless supply of Pina Coladas and the love of my life.'
  Puff! He's gone.
  'OK, you're up,' the Genie says to the BOSS.
  The BOSS says, 'I want those two back in the office after lunch.'
  Usichukulie misemo literally, hapo tunaoneshwa/elezwa jinsi hata kama decision ya BOSS ni mbaya at the end ndo yenye uzito
   
Loading...