Mtoto akikupiga chabo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto akikupiga chabo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kichwa Ngumu, Apr 26, 2011.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hi JF members.
  Kuna ubaya wowote kama itatokea mtoto wako wa miezi 3-6 ambaye unalala nae atakuona ukifanya mapenzi na mama yake
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haina mbaya kama ni mtoto aliyepatikana katika ndoa!!!!!!
   
 3. N

  Nancy70 Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama kuna tatizo kwanza haelewi lolote ila si vizuri maana akizoea ataadhirika kisaikolojia hapo baadaye. Na pia brain ya watoto huwa haisahau kitu kwa hiyo kuwa muangalifu sana.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  huyo mtoto lazima ukiubwani awe kicheche
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  :A S shade: sidhani kama kuna ubaya katika umri huo:playball:
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Siyo vzuri kiukwel kwanza mtoto anakuwa anajengewa tabia mbaya.
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hebu michelle nisaidie hapa, ni umri gani sasa wa mtoto ambao haufai?
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mi nafikiri tangu mwaka mmoja na nusu miwili mtoto asilale na wazazi....:playball:
   
 10. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sasa solution ni ipi ukizingatia mtoto ni mdogo wa miezi 3-6 ni ngumu kumlaza peke yake na usiongelee wazazi kuacha kufanya mapenzi
   
 11. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani ni tabia mbaya kufanya mapenzi?
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nami nakubaliana na wewe
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sio tabia mbaya. Inageuka tabia mbaya kufanya mbele ya mtoto.
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...inakwaza sana, hata raha na hamu ya kuendelea inakwisha.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Si vizuri.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Inawezekana!!
   
 17. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Kwahiyo kumbe suala hilo ni tabia mbaya ambayo watoto hawatakiwi kuliona?????????
   
 18. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Jamani mtoto wa miezi 3-6 ana akili gani?????? Mtoto kama huyo bado hana akili yeyote ya kuweza kujua chochote.
  We fanya tu kile unachotaka kukifanya maana huyo bado hana utambuzi wowote.
  Ingelikuwa labda mtoto wa miaka 3-6 hapo noma tena sana.


  Take care!!!!
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Kwanza nashangaa mtoto wa umri huo kulala na nyinyi, kiafya siyo sawasawa. Sio vibaya kuwa chumba kimoja lakini anatakiwa awe na kitanda chake kidogo pembeni.
   
 20. N

  Ngo JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbu;...inakwaza sana, hata raha na hamu ya kuendelea inakwisha.

  Umeona mkuu, haipendezi mko katika hiyo shughuri mtoto anawatolea macho. Miezi sita mtoto anaelewa mbona na akili hapo inanasa kwelikweli mambo. Inavunja stimu .... mtoto alale kwenye kitanda chake. Tendo la ndowa ni la wawili haipendezi awepo wa tatu hata kama ni mdogo. Hamtendei haki mtoto kwakweli katika hilo.
   
Loading...