Mwalimu agundulka kusambaza ukimwi kwa makusudi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu agundulka kusambaza ukimwi kwa makusudi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MPAMBANAJI.COM, Jun 3, 2011.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 680
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Mwl mmja wa jns ya KE aliyeajriwa hivi karibuni amezua kizaza huko Kilimanjaro baada ya kuonekana kubadilisha wanaume wengi bla kujal huku akiacha gumzo kwa wengi kwa wakaz wengi kwa tabia yake ya kuwa na wanaume tofauti kila wkend huku akiwakarbisha Nyumbani kwake
  Mambo yamegundulika pale Mama mwenye nyumba kumtonya moja ya kidume aliyekwenda kwa mwl huyo juu ya tabia yaa mwl. huyo
  Bila kuonesha wasiwasi wowote kidume aliingia ndan na kufuatilia mwenendo na maeneo yote ya ndan ili kutafuta dawa zilizopo ndani.
  Alifanikiwa kuona dawa mbalimbali ambazo alizipeleka kwa dokta hosp. ya jirani juu ya Marangu TCC na ndipo iligundulika ya kuwa n madawa ya kufubaza makali ya VVU/UKIMWI.Hata hivyo alishindikana kujulikana matumizi ya dawa mojawapo iitwayo ASTRIM FOR LIFE CARE. Hata hivyo wataalam watafahamu n kwa ajili ya nn.
  Ilinichukua muda mfupi kufatila lililoendelea na je kidume huyo pamoja na wale walomng'ang'ania bila ya kujua histora ya kioo hiki cha jamii,hii ni kutokana na safari nlokua nayo
   
 2. m

  menny terry Senior Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sasa umeambia ili sisi tufanyaje? Acha utoto kuwa wewe! Unafikiri kila mtu ni mawazo mgando kama wewe? Najua niutoto unakusumbua paka shume we!Eti ndo umeona bonge la story.Kama uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo basi wewe ni bora ungepewa utiwagongo kuliko UBONGO. Tuletee mambo ya kufundisha ambayo tuta jifunza coz hao wajinga walienda wenyewe walikuwa na uwezo wa kukataa.Hiz story za vilabuni hazitusaidii lolote.
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,564
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh!!!! wewe!!!
   
 4. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,024
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Waathirika utawajua tu
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  kapate ushauri wa dakitari
   
 6. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio tujue wakati umeharibika tuache kurukaruka ovyo
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,274
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  ili msitusambazazie mliopita tena airudie ttena mkome na tabia zenu chafu
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,274
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  samahani kwa hili kwa story yako
  yaani wewe ni muhusika live na alietoa mada mnajuana fika pengine kashindwa kuwambia marafiki zako amefikisha ujumbe kupitia jf na mtalaaniwa maisha yenu yote zile dawa kama una tabia ya kusambaza kamuulize babu wa loliondo walioenda
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,274
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  kwa matendo yao
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,274
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  dinnah watu ndio wanaaribika wakati auaribiki hata siku moja nenda hazina uone
  kila siku wizi mtupu watu wanajaa umearibika wapi tunajiaribu wenyewe kwa tamaa zetu
   
 11. Mustapha maDish

  Mustapha maDish Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ahsante sana kwa kuileta hii maana
  Iwe ya kweli ama c ya kweli kusoma tu imetukumbusha kitu...!!

  Mustapha MaDish Tanzania
   
 12. A

  Aine JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani wewe ni mmojawapo waliojihudhurisha kwa huyo mwalim, pole wee
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,274
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  Aine yaani usemi wake hata auitaji kudesa kama shule....swala na yeye asiusambaze ndio maana tunailaanihiyo roho
  nikwelei hii hali inawakuta sababu ya kuchanginyikiwa lakini nasema si kweli kuna dada mumewe aligundulika akiwa
  anajua hilo pale mtaani akawa agawa kama pipi yaani mpaka wattoto wa darasa la 13-14 anawabeba kwenye lift tumemzika jumamosi vile vilio sio sababu a mekufa ni idadi ya wanaomfwata niliumia sana nikasema pengine na mie ningekuwa na mdgoowangu angekuwa kwenye mtego
   
Loading...