Mapenzi noma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi noma!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ilonza, Jun 21, 2011.

 1. I

  Ilonza Senior Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, alijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku amebadilisha laini. Sijui nimshauri je ili ampate.
   
Loading...