hii ndo njia rahisi ya kujua kama unamridhisha mpenzi wako!!

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,267
718
wadau, ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi. Kama wewe ni mwanamke na kila mara wewe ndo unaanzisha game au kubembeleza tendo basi jua kuwa mumeo hakufurahii na humridhishi. Kama mnaridhishana basi kila mmoja wenu atakua anamuwaza mwenza wake na kutamani kuwa nae wakati wote, hata kama upo kazini mtakua mnawaza muda wa kutoka kazini ufike mapema ukamuone mwenza wako. Ni hilo tu wadau.
 
Mkuu kinyoba hapa umenena, ni kweli kabisa, Mapenzi vionjo, km wamfikisha utamteka akili na mawazo yake, atakuwaza daily na atakuwa anaomba mchezo mwenyewe!
 
Mkuu kuna watu wamelelewa ka mila na desturi yani unakuta hata mumuwe anamwona kama kaka unategemea nini hapo hata kama unapeleka moto wa kutosha?? wakina niangusage etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom