Je huu ni uungwana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni uungwana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by shoshte, Jun 18, 2011.

 1. s

  shoshte Senior Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unakuta una mtarajiwa wako kwenye mizunguko au mpo kwenye starehe zenu
  za weekend rafiki yako anakupigia simu kwa ustaarabu unaenda na mchumba wako
  pale yule rafiki yako mnakaa pale ila anakuwa hana raha afu baadae anakuita pembeni
  anakwambia MZEE UMEKALIWA YAANI KILA SEHEMU LAZIMA MFUATANE???
  Jamani je huu ni ungwana na je huyu ni rafiki mzuri????
   
 2. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanaume wengine bana, kwani kufuatana na mpz wako inamaana umekaliwa?
  Huyo si muungwana kabisa, kwanini hataki uongozane na mtarajiwa wako? Nahsi si rafiki mzuri
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  mwanamme wa dezign hiyo ana wivu tu,kwa kuwa yeye anajisikia vibaya kufuatana na mpenzi wake,wanaume wengine wanaona raha kufuatana na wapenzi wao.kuna jamaa mmoja namfahamu,kila akienda kunywa huenda na mke wake.hata kama atakutana na marafiki zake,yeye lazima awe na mke wake.ila kwa upande mwengine kama mmezoea kutaniana mtu akiwa na mke wakeutaona tabu kumtania
   
 4. s

  shoshte Senior Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shida inakuja sasa yeye hataki kuja na wa kwake hata ukimwambia aje naye sasa utafanyeje unaamua kumdelete
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Dah, mi nilifikiria ndio kipindi cha Mzee Leonard "Mambo" Mbotela, "Je hii ni ungwana"
   
 6. kapug

  kapug Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyo mshkaji sio wa ukweli mkuu kama vp mpotezee tu manake iko siku atakubandulia.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,732
  Trophy Points: 280
  Huyu si rafiki mwema, yeye ndiye wa kumpotezea. Mie sioni ubaya wowote wa watarajiwa kwenda sehemu yoyote kujirusha kistarehe. Pia hata wale waliokwisha funga pingu za maisha hakuna ubaya wowote wa kufanya hivyo lakini njemba nyingi zitakwambia mama ananizibia riziki halafu tunakuwa hatuko huru kuongea "mazungumzo ya kinjemba njemba"
   
 8. s

  shoshte Senior Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa hayo mazungumzo ya kinjemba njemba yanajenga yanabomoa??????
   
 9. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu kumbuka wewe ndiye umemfundisha huyo rafiki yako ya kuwa mara nyingi uko peke yako..lakini kama utamfundisha ya kwamba akikuomba muonane kuna probability utaongozana na rafiki yako wa kike..basi kuna mawili...atakutenga na hatokupigia simu kwenye vikao ambavyo hapendi uwe na mwingine...au kama atakualika uende basi anajua fika unaweza kuzuka na mpenzi wako...

  Mkuu kila kitu ni wewe unavyotaka..ila kumbuka jamii wanaweza wasikuelewe na watachonga sana...

  Pia kumbuka mara nyingi vile vikao ambavyo watu hawapendi wengine wahudhurie huwa vinaishia pabaya kwenye mambo ya uzinzi..na cheating..wanaume huwa tunajidinganya eti..vikao vya wanaume...
   
 10. s

  shoshte Senior Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuuu hapo nakubaliana nawewe 100% kwani jamaa namfahamu ni mzee wa totoz
   
 11. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mambo ya kumuacha wife home alafu unaenda kwenye starehe ni ya kizamani ila sio kila sehemu tufwatane.hata sisi tunahitaji kukaa na mabest wetu kama nyie mnavyokaa na wasichana wenzenu
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi we SHOSTE ni mdada au mkaka?!Sikuelewi elewi maana jina la kidada alafu kuna thread unamwongelea girlfriend wako..au ndo maajabu ya dunia tunashuhudia live ndani ya JF?!
   
 13. s

  shoshte Senior Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lizz mimi ni mkaka bwana ila jina nimetumia Shoste kwani wadada wa kibongo wanapenda kulitumia sana wanapoitana marafiki hahahaha sio maajabu ya dunia ndo mambo ya jamii forum invisibility
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wantia wasiwasi...angalia usitongozwe na majibaba ya haja unless ndicho unachotaka ofcoz!
   
 15. s

  shoshte Senior Member

  #15
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duu lizz nitake radhi bwana mimi sina hayo mambo ya ajabu ni jina tuu nimelitumia naweza hata kulibadilisha kama inawezekana duu hii balaaa
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mla huliwa
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio uungwana, kama alikuwa na maongezi ambayo hakupenda na mwingne ahusike angekwambia tu.
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Shoshte kijapani inamaana "and then". Nilidhani umeandika neno la kijapani.

  Anyway rafikiyo mpotezee. Ni vema kuwa na mpenzi wako hasa kipindi iki ambapo ni wachumba. Ukianza kumwacha nyumbani mapema hii mkifika miaka kumi ndio utaona ugwadu hata kuongozana nae kitaani. Ndio wale unaona baba mbele mama nyuma; tutajuana nyumbani njiani sitaki watu wajue kama tuna mahusiano. Aakh. Mi wanaume wa hivo nawaita wazinzi tu. Ndio maana namfagilia yule dogo mheshimiwa diwani wa pugu na Meya wa Ilala Jerry Slaa. Kila nimwonapo basi wife pembeni. Hiyo inapunguza mazingira hatarishi.

   
 19. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #19
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ah!.. pengine jamaa alitaka kukopa??
   
 20. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  huyo siyo rafiki ni adui
   
Loading...