Unaweza ukawa mmojawapo
pole ila usiku wa leo kabla ujaenda kanisani kesho bora ujiangalie vyema ulioa kwa makusudi gani
wapo wengi wameoa ama kuolewa wakiwa na malengo tofautiwapo waliooana...
Nasikia zamani (maana sikuwepo) kazi ya kutongoza na mpaka mwanamke kukukubalia ilikuwa ngumu kuliko kuomba mkopo benki siku hizi. Sina uhakika sana na sababu za wakati huo lakini inaonekana...
jamani leo nimekaa na dogo mmoja apa home anasoma hizi sent nanihii with usafiri hadi mlangoni..mara ghafla inanijia picha enzi izo nasoma vidudu hadi primary kulee kijijin kwetu....aah nimecheka...
Eti wamama mwalimu wao ni .......Ni mke wa mchekeshaji ze comedy wa ulongoni.mumewe kakuta anamegwa na muuza voucher wa goms.mr akaita masela wake.kumuadhi pale wakaona itakuwa so.jamaa kaachiwa...
habari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja...
Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani
Where are you Miss...
Nilikuwa naye kwa miaka miwili, tukawa tunaona wakati wa likizo, we were making love except sex.! Coz nlikuwa naskia matetesi..doo ni mkali ile mbaya, walikuwa wanamgwaya ndo wakasambaza mastori...
Mwanamke akipewa nafasi anaweza mengi ambayo mwanaume hayawezi linapokuja suala la mtu kupata kile anachokihitaji maishani wake. Mwanamke ndiye mwenye subira kuliko mwanaume,ndiye msamehevu kuliko...
Kuna mdada, miezi mitatu iliyopita alimfumania mumewe na mwanamke ambaye ni rafiki yake ingawa sio kiviiiiiiiiiiile! Kama kawaida ya wadada akalia weeeeeeee mwishowe akaamua kumsamehe mpenzi wake...
Hello wana JF, natumaini muko wazima.
Mie ni kijana mvulana, ninatafuta rafiki wa kike ambaye tunaweza kuanzia hapo kimahusiano mpaka kutimiza malengo ya kuishi pamoja kimaisha.
Msichana awe na...
Hope youre feeling better.....
Everyone is so eager to have you back in action again, rise up and exercise those bones.........We miss hanging out with you.........Ever since you got sick, We...
Sisi tunaofanya kazi chini ya mtu fulani (boss) mwanaume tunakuwa hatarini sana hasa kama boss anagodoro lake hapo. Akikuona unamazoea nae (godoro lake) basi visa havikosi, memo usiseme na hata...
There's no question that breakups can be painful, and that it's difficult to trust and love again. But there are ways to get past the pain.
In time, it is absolutely vital to put the pain...