Ulishawahi date na 'Pisi kali' lakini ina kasoro?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,031
Swadaktaaa?

Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.

Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro aliyokuwa nayo pamoja na uzuri wote. Siku niliyokuja fahamu ana hili tatizo ni siku ambayo tulitoka out night ikabd tulale lodge, nilishuhudia live demu akikojoa mpaka nikahisi maybe nilimkuna sana kumbe ndo tatizo lake. Ndio kunambia ukweli wa tatizo lake.

Hatukudumu sana tuliachana, sijui kama alipona au bado.
 
Ilikuwa pisi ya kuombea hata zamana kwenye kesi kubwa kubwa.. Toto ilikuwa ikicheka inamwanya.. lips denda,umbo namba nane.. nywele nyeusi tii halafu zake mwenyewe sio zile za kununua kwenye misaluni!.. na kale kasauti kake hakika nilidata komamanga la watu!.. ubovu ulikuwa anapandisha majini yanaongea kiarabu! Lamba mwiko wa watu nikaona isiwe tabu nikamuacha japo ilikuwa kwa mbinde maana na yale majini sijui yalinielewa!! Sijui Sana.
 
😂😂😂lamba mwiko...naskiaga wenye majini yakipanda ni kipigo we uliponaje mkuu.
 
Niliwahi kuwa na pisi Kali alafu lilikuwa na biashara yake alafu na ndinga kali,daah Yule demu kitandani alikuwa ni balaa ukimgusa tu dk 2 chupi iko maji tu.

Tatizo lake akikutafuta kwa simu ukawa busy ukashindwa kupokea ni mwendo wa matusi tu,au akituma sms ikapita dk 2 mbili hujareply atatuma hyo sms ya matusi mpaka utasema huyu atakua katumwa.

Ilibidi tu niachane nae japo ananisumbua Sana mpaka leo. Ila Yule demu kafanya nijue kuwa ili mwanamke umfikishe kileleni ni mpaka akupende yeye Kama yeye.
 
Niliwahi kuwa na pisi Kali alafu lilikuwa na biashara yake alafu na ndinga kali,daah Yule demu kitandani alikuwa ni balaa ukimgusa tu dk 2 chupi iko maji tu.

Tatizo lake akikutafuta kwa simu ukawa busy ukashindwa kupokea ni mwendo wa matusi tu,au akituma sms ikapita dk 2 mbili hujareply atatuma hyo sms ya matusi mpaka utasema huyu atakua katumwa.
Ilibidi tu niachane nae japo ananisumbua Sana mpaka leo.
Ila Yule demu kafanya nijue kuwa ili mwanamke umfikishe kileleni ni mpaka akupende yeye Kama yeye.
Hamna hiyo nikumsugua vizuri tu mzee..
 
Back
Top Bottom