Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Kama mjuavyo ndoa za nyakati hizi zimekta tofauti kabisa na kipindi cha wazazi wetu na bibi na babu zetu.Ndoa za enzi hizi zimekua ni kama mbwembwe tu ila watu wengi hawadumu kwenye ndoa zao ,nini...
Sielewi kwa nini wazo hili limenijia kichwani ghafla sasa hivi, ila ngoja niwashirikishe!
Nafikiria kama ningekuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya system ya utendaji kazi wa akili, utu, upendo...
Kauli kama hii hutoka vinywani mwa wanaume wengi. Lakini, je, unajua ni kwa kiasi gani kauli hii huwa haina ukweli hata chembe? Huenda hujui kabisa, au inawezekana pia nawe ni mmoja kati ya wale...
Umri wangu ni miaka ishirini na mmoja. Wazazi wangu hawakuwahi kuoana wala kuishi pamoja kwani nilipokuwa conceived (wazazi) wangu walikuwa bado kwenye late teens, wakati huo wanafunzi. Katika...
Ndugu Wana JF,
Jana baada ya kutoka safari, jirani yangu alinipigia simu akinieleza kuwa amekorofishana na mke wake na kuamua kuondoka nyumbani mpaka yule mke wake atakapoondoka nyumbani...
Natubu kwa MWENYEZI MUNGU NA KWA MKE WANGU, NAMWOMBA SANA ANISAMEHE. nilimwoa mke wangu nikiwa sina chochote na kwa msaada wake wa mawazo na msaada wa Mungu tulifanikiwa kujijenga...
Wapendwa uvaaji wa suruali huku shati umechomekea kwenye chupi ni sahihi?
Kuna brazameni mmoja nilimwona kaulamba safi ila shati kachomekea kwenye chupi sasa bahati mbaya au nzuri ile chupi...
Kwenye mahusiano/ndoa watu hua wanapiga picha pamoja . . . kwaajili ya ukumbusho.
Kwa wale mlioko facebook mnajua siku hizi hizo picha haziishi kwenye album makabatini tu na ukutani ila mpaka...
Nina Gf ambae nimeiishi naye miaka 4 bila kufunga ndoa na bahati mbaya kwa muda huo wote hakuweza shika mimba wala kuwa na mtoto before I meet her. Niliweka agano la ndoa na yeye, lakini kwa kuwa...
Wife is like a TV, Girlfriend is like a mobile, At home you watch TV , but when you go out u take your mobile. Sometimes you enjoy TV, but most of the time you play with your mobile, TV is free...
wakuu ma greater thinker...nawakilisha,kuna habari mmoja imenisikitisha sanaa,nanukuu ''mwanaume mmoja amefikishwa polisi na mkewe,kwa kufumaniwa/kukutwa na picha za mama mkwee[mama wa...
Jaman kuna sto
r,nimeisikia radio one,imenichosha kwa kweli,yani kweli mkeo au mumeo,au wachumba mnasaviana majina ya ajabu ajabu kwenye simu,unadiriki kumuita au kumsave mkeo au mmeo...
haya tena wapendwa wa jf......habari za masiku teele!!
bwana nakaa nawaza sipati jibu.........la haraka!!maana ni miezi kadhaa kijana nimebahatika kupata kibarua cha mkoani...juu kabisa kaskazini...
Assalam aleukum ndugu zangu,nina jambo moja nataka kuliweka hapa japo tusaidiane katika hili!nimekutana na dada mmoja bahati nzuri nakaa nae mtaa mmoja nikatokea kumpenda sana ila cha ajabu huyu...
Habari za jumamosi waungwana wenzangu,nafikiri wote mko safi mnaendelea na shughuli za kila siku,jana nilikwenda bar kufurahisha macho kidogo na kupiga stori na wabongo wenzangu,basi kuingia...