Tunaelekea wapi?

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
wakuu ma greater thinker...nawakilisha,kuna habari mmoja imenisikitisha sanaa,nanukuu ''mwanaume mmoja amefikishwa polisi na mkewe,kwa kufumaniwa/kukutwa na picha za mama mkwee[mama wa binti]kwenye simu yake,picha hizo za video na kawaida zinamuonyesha mama mkwe wake akiwaa anavua nguo bafuni,inasemekana mama mkwe aliwatembelea kwao.mwanamke huyo alienda mbali zaidi kuonyesha sehemu iliyo tobolewa spcl kwa kumlia mama chaboo"
swalii langu niwapi tunaenda hii jamii..kwelii mama wa mkeo unamchungulia na kumpigaa picha za utupu na kuifadhi kwenye simu??huyu jamaa ni mzima au matumizii ya zile picha ilikuwaa nini?inawezekana mama mkwe alikuwa bab kubwa kafungashia kuliko mwanae jamaa akamtamani?inawezekana kweliii...
 
hivi nimetokezea kwenye jukwaa gani tena?sikumaanisha hili nilitaka la siasa,hivi vichochoro vingine unaweza kutokezea sero.
 
Back
Top Bottom