chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Jaman kuna sto
r,nimeisikia radio one,imenichosha kwa kweli,yani kweli mkeo au mumeo,au wachumba mnasaviana majina ya ajabu ajabu kwenye simu,unadiriki kumuita au kumsave mkeo au mmeo dalali?,au muuza vocha..tubadilike jamani,siyo vizuri kabisa.ukiona shida sana,msave kwa jina lake..