Nipo njia panda.....wana jf plse | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipo njia panda.....wana jf plse

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SAWEBOY, Nov 25, 2011.

 1. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Nina Gf ambae nimeiishi naye miaka 4 bila kufunga ndoa na bahati mbaya kwa muda huo wote hakuweza shika mimba wala kuwa na mtoto before I meet her. Niliweka agano la ndoa na yeye, lakini kwa kuwa ile theory ya shake before use haikutimia kwa muda wa miaka minne ikanifanya niwe na mashaka naye huyu Gf.

  Kutokana na hilo niliona ni vema nitafute msichana mwingine ili niweze ku-test ili kujua labda mie ndie mwenye tatizo, na hatiamaye nilibahatika kumpata binti mwingine na kushirikiana naye kimapenzi na hatiamye akapata mimba na sasa ana mtoto mwenye umri wa miezi saba. Hadi dakika hii nipo njia panda wakuu wana JF kwa sababu-:

  1. Huyu Gf ninaye ishi naye ameshika mimba mwezi wa tano /mwezi ambao mtoto amezaliwa mtoto ambaye nimezaa na huyo binti mwingine.

  2. Huyu Gf wangu nampenda sana na wala hajui habari hii ya mimi kuwa na huyu mtoto na mwanamke mwingine.

  3. mtoto namhudumia vema toka mama yake akiwa na mimba til now na yupo copy right nami huyo mtoto.

  USHAURI NIOMBAO HAPA JF.
  (a). Huyu binti mwenye mtoto anataka nikamtambulishe mtoto kwa wazazi wangu sasa na hii itasababisha huyu Gf wangu ajue coz wazazi wanamjua na kumtambua , sasa nifanye nini juu ya hilo?

  (b) Je ni mwambie huyu Gf wangu ukweli wa mambo hali na yeye ana mimba kwa sasa au nifanye nini wakuu.

  Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa ushauri wenu.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  umesoma mpaka darasa la ngapi?????

  una miaka mingapi??????????

  alie kwambia ukitaka kujua 'matatizo' ya kushika mimba
  ni kutembea na msichana mwingine nani?????

  kama ulifika sekondari,hukuwahi kusoma biology kabisa???????
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ndo adhabu ya kumhukumu mwenzio 'utasa'.

  Maji yakisha mwagika hayozoleki, Mwambie gf wako ukweli, ila ujue ni ngumu kwa mwanamke kumpenda huyo mtoto maana umemsaliti na kumhukumu ugumba, hukujali maumivu yake ya kutoshika mimba na una kazi ngumu ya ya ku-gain her trust!
  Lakini kwa vile umelikoroga ulinywe, usije ukamkosesha mtoto haki zake za msingi!

  Ila unashughuli! Hilo shuzi!
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nini huyu.. kuna wengine wakitaka kutest kama ana ngoma basi anampa mimba mwanamke.. anajua mwanamke akibeba mimba lazima apimwe. Basi anasubiri majibu ya ngoma baada ya mama mjamzito kupimwa..
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  na kama yeye alikuwa hana
  na huyo mwanamke anavyo???
   
 6. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  The boss thankx kwa maneno yako hapo juu japo yananitia hofu zaidi but plse nipe mchango wako wa kujenga ili niweze kuwa katika good position mkuu. Forgive me about all bad things that I have done but plse advice me on a good soulution! that's why u're called "the boss"
   
 7. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ndo hapo chacha...
   
 8. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Saweboy.. huyo mwenye mimba na huyo mwingine mwenye mtoto wana taarifa kuwa unampenda pia marytina wa kwenye siginecha?
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  MKUU
  Hayo maswali yote
  nimeuliza ili kujua uko 'mature' kiasi gani
  ku handle 'majukumu' ya kuitwa baba au mume
  ushauri wangu ungejikita zaidi kwenye kujielimisha
  masuala ya afya ya uzazi na magonjwa ya ngono ya kuambukiza

  vinginevyo hata hiyo familia unayotaka kuijenga
  unaweza 'kuiangamiza' bila kujijua....
   
 10. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Punguza ukali mkuu, ni mapito tu ya hapa duniani, kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa hapo sawa.....ndio maana nimekuwa muwazi kuwa nimekaa na GF 4 years bila nyavu kutikisika vyema! hata ungekuwa wewe ungekuwa na mashaka tu mkuu.

  If possible give me u're advice plse.
   
 11. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Sawa mkuu nimekuelewa vema juu ya huo mtazamo wako. Nakushukuru kwa hilo na nitachukua tahadhari na kujifunza zaidi juu ya haya mambo ya afya mkuu. asante sana !
   
 12. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli utakuwa umezaliwa April si kosa lako
   
 13. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Sijawapa hiyo taarifa kuhusu Marytina kwa sababu Marytina yeye amenipa kipingamizi cha kumsubiri hadi miaka mitano ipite ndio tuwe pamoja. Ila kwa kuwa nampenda basi nitazidi kumuenzi katika siku zote za uhai wa maisha yangu coz huyu bibie ni Cleopatra yuleeee wa kule Egypt enzi zileeeee!
   
 14. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  zile movie za kinigeria sometimes zinamafundisho sana kwenye maisha yetu..una huakika gani hiyo mimba ni yakwako?yawezekana mwanamke alikutega anakula pesa yako kwa sababu anajua unashida na mtoto..Yule mwanamke ulipotoka je alikupa kibali cha kwenda kulala na mwanamke mwingine?hilo ni kosa na litakutafuna katika maisha yako..chukua mtoto ukapime DNA na si sura then kama niwako mweleze mkeo huyo unaishi naye then akikubali nenda kamtambulishe..
   
 15. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh.. yaani wewe mwenyewe hata hujitambui bado..
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanadamu nyie. . .
  Ungekua kweli unajali husia za huyo girlfriend wako usingeenda kuzaa na mwanamke mwingine kwa nia ya "kutest zali".

  Neway since ya kutokea yameshatokea man up and tell her the truth.Maana bila kufanya hivyo huyo mzazi mwenza namba moja anaweza kujitutumua na kukuletea mtoto kwako alafu ugeuke bubu ghafla. Mweleze. . . muombe samahani. . . mweleze malengo yako kwa huyo mama mtoto/kwa mtoto na kwake girlfriend alafu usikilizie msimamo wake.
   
 17. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Sawe unastahili toba...uu mfano mbaya! Dhambi uliyofanya itaendelea kukuandama daima...sema ukweli ili uwe huru...unagawa familia!
   
 18. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Lizzy! nichukue fursa hii kuomba radhi kwa niaba ya wanaume...wanaume bhana!...tofauti zetu ni ndogo sana...tunasifika kua smart kwa busara za kucopy ilihali tukitumia 'sijui niiteje' kufikiri...i hate womanizing...Nimexperience kua mtoto wa kambo...nachukia! Naomba Mwenyezi Mungu asinifanye mmoja kati ya akina Saweboy...
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  AH inasikitisha kweli namna akili za watu wengine zinavyofanya kazi.Hawafikiria kitakapotokea hicho anavhojaribu itakuaje kwa huyo anaemjaribia. . . kwa yule anaemwacha nyumbani wala mtoto atakaezaliwa.Sijui ni ubinafsi ama ni nini.

  Neway thanks for the apology. . . kwa niaba ya wadada wote.Angalau wewe unajua uchungu wa jambo kama hilo (pole kwa hilo) sio rahisi na wewe kumweka mwanao kwenye position kama hiyo.
   
 20. s

  sangija Senior Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sioni sababu ya kuanza kumlaumu ili hali yamesha tokea hayo. Tumpatieni ushauri wa kujenga na si kumfanya apanic! atashindwa hata kuwahudia hao wanaomtegemea.
  Binafsi nakushauri subiri kwanza huyo wa kwanza ajifungue, ndo uanze fikiria namna ya kumweleza ukweli.
   
Loading...