Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nahtaji msichana vigezo awe mrembo anaish tanzania tabia A+ usafi A+na mapenz kutoka moyoni. Email steveedward95@yahoo.com
0 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
nmepita 2 hku leo ila naomba ushauri kwa wana Jf. Kuna msichna nlitokea kumpenda toka mara ya kwanza kupata kukutana nae {2005}, ila 2kaja kupotezana nae had nmekuja kuonana nae tena hivi karbuni...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wapendwa, nina mpenzi ambaye simwelewi tabia yake,yeye anataka kila siku mimi nimpe hela pindi anapokuwa na shida, eti kisa mimi nafanya kazi yeye bado anasoma.Na kama ikitokea kakuomba hela afu...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Hivi msichana kuwa na marafiki wa kiume wengi,ni ufahari au ni nini!,i don't get it.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hi
luking 4 friends2chart 0755030957
0 Reactions
2 Replies
947 Views
hi jf, natafuta mchumba ambae ana bikira aliyepewa na mwenyezi mungu-not chinise, toka juzi mm na machangudoa basi! natanguliza shukrani kwenu!
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nadhani baadhi yetu kama sio wengi tunajua nguvu ya neno asante na umuhimu wa kushukuru pale mtu/watu wengine wanapokua wamejituma, jitolea kwaajili yetu.Kwa kushukuru mtu anapokuwia mkarimu...
10 Reactions
106 Replies
9K Views
ndugu wanajf ni jana tu nimepost mawazo ya mwanaume aliyokuja anyasema kwangu kwa kuomba ushauri nashukuru kwa waliochangia. Sasa kikubwa zaidi leo hii hasubui mwanamke wa yule jamaa nimekutana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ni juzi hata mwezi haujaisha nakutana tena na mdogo wangu/rafiki yangu ambae wakati nipo A level yeye alikua Olevel,,,yupo chuo kikuu fulani na amekosa acomodation...anatafuta chumba mtaani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
BY ALEX BALIMWIKUNGU When your wife loses the intense romance and passion she displayed when you were still dating, what do you do with your libido still a notch higher? So what do you do? Get a...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nampenda sana mpenzi wangu,wapendeni pia.siyo kila siku vilio,vitaisha lini..
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenzenu nimechoka maisha ya ubachelor natafuta wa ubabu wangu wa kufa na kuzikana. Mi ni mwanaume umri wa miaka 35 ni mkristo mtumishi wa umma. Kwa aliye serious sichagui dini, ngozi/rangi, kimo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni miaka 29 yakuzaliwa na nimuda muafaka wakupata mwenza wazee wamenipa fursa yakutafuta mchumba nimpendae lakini sijamuona natoa fursa hii kwenu wasomaji ambae aliyekuwa tayari tuwasiliane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF Kuna mwanaume mmoja ambaye ameoa mwanamke.wameishi katika mahusiano miaka nane kabla ya kuoana hivyo walikuwa wamezoeana vya kutosha,kwa kuwa wote ni wafanyakazi sehemu tofauti huwa...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Miezi 2 iliyopita rafiki yangu mmoja alinipa taarifa juu ya mahusiano na mdada mmoja aliyempata kwa njia ya Mtandao mmojawapo wa kijamii, uitwao face book. Kwa maelezo yake, amekuwa akiwasiliana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
WATU 21,992 sawa na asilimia 16.2 ya watu 136,108 waliopima afya zao mkoani Mbeya mwaka huu, wamegundulika kuishi na virusi vya Ukimwi (VVU). Mbali na hao, pia kati ya wajawazito 94,969...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dedicated to My husband, and to people in love today... Author: KRISTEN M SACCARDI As I look into the future as far as I can see, I can see nothing except you being with me. You are in all...
7 Reactions
147 Replies
10K Views
Kwa leo wazo letu litasomeka hivi "Kosea mambo yote lakini usikosee Kuoa". Mbaki salama waheshimiwa
1 Reactions
13 Replies
4K Views
kazi ni kwenu kujifunza au kupotezea.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…