Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
10 Reactions
51 Replies
888 Views
Salaam. Bila kuwachosha Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake Swali linakuja...
2 Reactions
3 Replies
193 Views
VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050 Anàandika, Robert Heriel. Mtibeli Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na...
33 Reactions
263 Replies
18K Views
Wakuu kheri....ilaaniwe CCM na watu wake wote ndiyo adui namba 1 wa taifa hili na raia wake. Kwanza kama unaishi na mwanamke na mnaona kbs hampgi hatua, magomvi hayaishi kila sku ni afadhari ya...
7 Reactions
25 Replies
792 Views
Ubinadamu haupo kwa kila mtu kuna wengine kimaumbile ni watu lakini ndani ni wanyama wakatili sana pengine zaidi hata ya hao wanyama mwitu. Ukilitambua hilo utakuwa makini sana kwa sababu furaha...
7 Reactions
6 Replies
190 Views
Nipo safarini Dar nimepata hotel moja mitaa ya Kinondoni, Tangu saa saba usiku kuna vurugu zinaendelea chumba cha pili Mmwanamke kavua zote kasoro chupi anasema hata iweje hiyo havui na kama jamaa...
21 Reactions
309 Replies
76K Views
Hi people, Heri ya mwaka mpya Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na...
18 Reactions
188 Replies
3K Views
Maisha ya Lumumba yamebadilika huku ikisemwa mkewe wa zamani anataka warudiane. Waziri wa michezo wa nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia Kongo, Didier Budimbu Ntubuanga amemtembelea shabiki wa...
3 Reactions
4 Replies
230 Views
Huyu dada kaleta tamaa sana leo, tulishaelewana kua akifika kwenye bustani yangu atacheza kwenye mti/shina tuu lakini hatagusa mengine. Dada huyu wa kienyeji anaesomea course ya sekretari ameleta...
4 Reactions
12 Replies
472 Views
1. Je,unamkumbuka mwanamke/mwanaume ambaye bado unatamani urudie mechi? 2. Kwa nini unataka kurudia mechi nae ? 3. Unakipi cha kumwambia? Kwa upande wangu namkumbuka mke wangu niliyelala nae...
0 Reactions
9 Replies
198 Views
Je ukuwadi ni halali Je ukuwadi ni dhambi Je makuwadi ni akina nani Je malipo ya ukuwadi yana baraka? Tujadili
5 Reactions
11 Replies
185 Views
Habari wanajamvi? Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja) Nasema hivi kwasababu gani? -Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au...
21 Reactions
548 Replies
96K Views
Wakuu, jumanne ya wiki hii nilifanikiwa kumpeleka gheto demu niliyemsotea kwa muda mrefu,lakini baada ya kufika gheto,tuliongea sana,baadae nikamwomba tunda akasema hayuko sawa, nikamuacha akasema...
5 Reactions
17 Replies
423 Views
Nilikuwa nasikia tu mambo ya mabinti wa Tanga wanavyojua kubembeleza wanaume sasa ndio nmeamin maana hivo visanga ninavyopewa na huyu binti nimebaki kucheka cheka tu mpaka nimehamia kwake kutoka...
5 Reactions
78 Replies
21K Views
Wakuu mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu wote. Aisee wakati nipo advance nilipata binti mmoja WA kinyiramba na tulipotezana baada ya Mimi kuhitimu advance nikaenda mkoa mwingine. Ilipita miaka...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Ni jambo la kihisia mno, jambo lililo ndani ya moyo kabisa lisilotoka na ambalo hujirudiarudia kila Mara! Ni kuhusu wema uliowahi kutendewa na mtu baki halafu ukaahidi kimoyomoyo kumlipa lakini...
34 Reactions
251 Replies
38K Views
Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:- 1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana. 2. Hakikisha umekula...
28 Reactions
135 Replies
8K Views
Nimeamua kuacha kazi na kuingia kwenye udalali huku bosi akinisaka na polisi Mbosso alisema mapenzi Gharama? Ufisi Gharama zaiiidi. Hii haikua kwa kupenda kwangu bali ni tamaa ya kupenda Uchi na...
58 Reactions
254 Replies
26K Views
Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…