Wana-jamvi mnakubaliana nami kwamba hii kauli mbiu ya Mamlaka ya Bandari inashabihiana na kauli mbiu ya wasichana siku hizi? Yaani Document (Pesa) Kwanza Mzigo (Mapenzi) baadae....!!
Nilihudhuria harusi moja, wakati naingia nikakuta upande wa familia ya mwanaharusi mmoja wanacheza ngoma ya kikwao.. Japo walionekana kujitutumua na kuonyesha furaha, niliweza kusoma sense ya...
Kwa wale ambao bado hawajaolewa hua hawaishi kuonyesha na kuelezea namna gani wanaume walivyo wabaya hata kufanya swala zima la kuingia ndoani kuwa gumu. Walioolewa hawaishi kulalama namna waume...
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama...
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25-38. Ni muajiriwa wa serikali, umbo langu saiz tu si mrefu sana wala si mfupi sana, ni mweusi kidogo. Natafuta mchumba ili baadae tufunge ndoa. Awe na uwezo...
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani...
Wapenzi natumaini wote mu wazima.
Nimekuwa nikisoma mawazo yenu hapa jamvini juu ya mahusiano na kujikuta nachanganyikiwa zaidi ya kuwaelewa. Picha niliyoipata kwa muda ni kutomfanya mpenzio...
Wana-JF,nikiri kuwa ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili.Suala hili linamhusu rafiki yangu wa karibu aitwaye Eddock.Eddock alikuwa na mahusiano na msichana mmoja hapa jijini Dar es...
Je unampenda uliyenaeye??..........au unaendeleakumtafuta umpendae kwasasa??..........je utakuwa umemtendea haki huyo uliyenaye???.................au upokwake kwa sababu fulani?funguka......>>>>
Hey mambo vp, mimi ni kijana wa kiume mwenye age ya 25. Ni mhitimu wa kidato cha nne, pia mhitimu wa mafunzo ya Ufundi kwa fani ya Umeme. Kwa hiyo nimejiajiri mwenyewe. Ni mrefu wastani na mweusi...
habari wanajamvini,
mimi ni mke wa mtu ambaye nina mtoto mmoja, kuna kaka mmoja tulimiti muda mrefu kabla yahata mimi kukutana na mume wangu ila tulikuwa marafiki wa karibu sana, mpaka nikawa...
Hii imetoka Redio One: NI hivi: Msichana mrembo ambae alikuwa akifuatwa na wanaume wengi aliamuwa kukubali kuanguka kwa kijana alieonekana amenona. Mapenzi yakanawiri na Kijana akitowa vyake ikiwa...
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku nyingine tena nikiwa mwenye afya njema..ila hili nililoliona leo asubuhi limenifanya kujadili njia nzia nikiwa naelekea kwenye mishe zangu..sijui ni ukali wa...