Natafuta girl.

Mbilimbili

Senior Member
Mar 17, 2012
172
19
Hey mambo vp, mimi ni kijana wa kiume mwenye age ya 25. Ni mhitimu wa kidato cha nne, pia mhitimu wa mafunzo ya Ufundi kwa fani ya Umeme. Kwa hiyo nimejiajiri mwenyewe. Ni mrefu wastani na mweusi wastani, pia ni mkristo. Vigezo kwa msichana atatakiwa awe yupo Kilimanjaro kama mimi, awe mweupe na mrefu wa wastani. Umri wa miaka 18-23 akiwa mkristo kama mm itapendeza, pia kama ni mhitimu wa kidato cha itakuwa poa pia. Kwa aliyeko tayari ani Pm!
 
Wenzi wako wa nyuma umeamua kuwaacha au? Pia umesema "unatafuta girl" Nini manake??? Unamaanisha ni rafiki tu au mchumba wa kuoa?? Hebu weka wazi kidogo! Ukitoa maelezo ya kihuni utajibiwa kihuni pia.
 
naanzisha mahusiano mapya, pia atakuwa mchumba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom