Hii ni kweli kwa Wanawake?

Maega

Senior Member
Jul 10, 2010
156
30
It is said, 6 out of 10 girls are unhappy with the way they look. Je kuna ukweli wowote katika hili?
 
It is said, 6 out of 10 girls are unhappy with the way they look. Je kuna ukweli wowote katika hili?

Wanaume ndio mnasababisha wanawake wajione hivyo. Mnawachambua kupita kiasi. Mwalimu wangu mmoja alisema kwamba wanawake wanajipamba ili waonekane kwa wanaume na wazalishwe. Alitoa mfano wa polination. Kwamba kila mmea unatoa maua ya aina yake kuvutia wadudu wa aina zao wanaovutiwa na aina ya maua hayo ili wakienda pale wapate kuendeleza polination. Kama wadudu hawaendi kwenye maua hayo basi mimea itapotea duniani. Nao wanawake vivyo, reception ni muhimu ili mwanaume fulani avutike na kwenda kuendeleza kizazi. Otherwize no chemistry between the two opposite sex no reproduction and therefore human extinction. Uliho nkoi?
 
mi nadhani umekosea ktk hyo namba.yenyewe ni 9.5 out of 10.ukiatka kuamin hyo pita posta jion
 
Mbaya sana kujichukia, ndo maana watu wanafanya mambo ya ajabu ili wabadilike.................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom