Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani eti kuna uwezekano wa kumtoa msichana bikira halafu asitokwe na damu!!? maana me sielewi
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kuna mkaka nimemkuta anasema jana hakuna kitu alichofaidi kama **** za bure kwa sababu sikukuu wanawake wanalewa sana na kujisahau kwa nn sikukuu tunafanya ndo siku za maovu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF. nahitaji msichana mmoja mwenye kujitambua kwa ajili ya serious relationship na wala sio kupotezeana muda. umri usizidi 25yrs. nina 27yrs. please aliye tayari ani PM, tutaanza kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa...
12 Reactions
129 Replies
10K Views
exual satisfaction is one of the key factors that make a relationship more enjoyable and fulfilling. Although there are other aspects that make or break a relationship, realistically speaking...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa ya kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na yenye mahitaji makubwa katika jamii. Waganga wa kienyeji wamekuwa...
3 Reactions
38 Replies
8K Views
Mwanamke akikutongoza unamchukuliaje?
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua...
9 Reactions
110 Replies
8K Views
Ni jana tu jamaa yangu mmoja aliambiwa na baba yake kuwa;"nitakusapoti kwenye ndoa yako lakini usimuoe huyo mwanamke ulie nae",kijana alipomuuliza baba yake sababu ya kumkataa mchumba wa kijana...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Huyu bwana mdogo ananiheshimu sana kutokana na anavyonijua.Ana mpenzi tangu anasoma form five, walikua na malengo ya kufika mbali.Kijana alimpoteza mama yake(alifariki) wakati yuko form one,hivyo...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Kuachwa huwa kunauma sana, na hasa inapotokea uliyeachana naye ulizaa naye, na hapo ndipo unapojikuta ukilazimika kuwa na mawasiliano na bwana huyo kwa takriban miaka 18 hivi. Hebu tuchukulie...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa wale wakazi wa mbagala manaopenda kuingia kwenye magest kuna gest moja kwa jina manchester ukifika hapo kama ukisikia mpe chumba cha BEKHAM usikubali kwani hicho chumba ni maarufu kwa kipiga...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani muda si mrefu nilipata kujuana na dada mmoja, lakini kadri siku sinavyo enda nahisi mabo yanabadilika na kunifanay nisijue la kufanya nisije fanay makosa. Huyu dada kwanza ameanza kunipia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MziziMkavu na Mpenzi wake. NI kweli kabisa kwamba, kwa wapenzi wanaopendana kwa dhati kila siku ni sikukuu kwao. Hata hivyo, sina budi kuwakumbushia baadhi ya mambo ambayo ni vyema mkafanyiana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wapendwa kwa muda miezi sita nimekuwa busy hata kulala kwa mashaka nimechoka sana hivyo basi kwa sikukuu hi natoa ofa kwa jinsia yoyote above 18years and except married men tutoke out...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Natoka kazini nafika nyumbani usiku saa 3,mke wangu nae ndo anafika kutoka kazini,nae amechoka,namwambia tukaoge ananiambia nitangulie kwani amechoka.Naenda kuoga narudi HG anaweka chakula...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ,nipo chuo kimoja hapa nchini natafuta mwanamke awe muislam,mwenye umri chini ya miaka 25,awe mfanyakazi wa serikali au awe mwanafunzi wa mwaka wa tatu ktk degree ya uwalimu, mrefu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa hivi kuna ugomvi gani kati ya haya makabila mawili nasikia hawaruhusiwi kuoana na hata nyumba zao hazitazamani na wanaitana wapalestina sijui na wayahudi
0 Reactions
35 Replies
11K Views
MUME: MKE WANGU KANIIBIA NYETI Posted by GLOBAL on August 14, 2012 at 6:30am View Blog Na Makongoro Oging’ UNAWEZA usiamini lakini ukweli ni kuwa Juma Ali (48), mkazi wa Mtoni jijini Dar es...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…