Wamachame na wakibosho

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
Naomba kujuzwa hivi kuna ugomvi gani kati ya haya makabila mawili nasikia hawaruhusiwi kuoana na hata nyumba zao hazitazamani na wanaitana wapalestina sijui na wayahudi
 
haya siyo makabila bali ni koo ndani ya kabila la Kichagga.Lugha zinaweza kuwa zinatofautiana na hii inasababishwa na kuongezeka kwa lahaja za lugha ya Kichagga kutokea TARAKEA mpaka KIBOSHO. Sifa mojawapo ya lugha ni uhai, na hii ni dalili nzuri za ukuaji wa lugha ya kichagga. Leo kiingereza cha Ireland siyo sawa na kile cha Scotland au hata Marekani.Mkuu upo hapoooooooooooooooooo!
 
wachaga ni wabaguzi sana
 
​mmasaihalisi wachagga sio wabaguzi unataka tulale nje wote nani atakua bosi wa mwingine?
 
Ninyi mmetangulia sisi tuna kuja nyuma.

tatizo lenu kubwa ni ardhi.

Sasa hivi mesha jihudhuru kujenga kwenu.

Hata mkiwa na nia ya kujenga,

Kiamba siku hii mnagawana midizi mitatu,
ardhi hakuna.
 
Naomba kujuzwa hivi kuna ugomvi gani kati ya haya makabila mawili nasikia hawaruhusiwi kuoana na hata nyumba zao hazitazamani na wanaitana wapalestina sijui na wayahudi

Ndio kweli ulikuwepo huo ugomvi na hata sasa na issue yenyewe ilikuwa zamani kulikuwepo na Mangi wa Kibosho na wa wamachame na walikuwa marafiki sana mpaka wakawa wanaalikana kwenye sherehe mpaka kusaidiana kwenye vita.Siku moja Mangi wa Kibosho akaona wivu kwani machame kulikuwa na vijana wakiume handsome na wenye nguvu.Akkaandaa sherehe akawaalika wakaenda mpaka kibosho(note kibosho na machame imetenganishwa na mto)so wakaenda akawauwa wote.Tangu wakati huo wamachame wakaweka viapo kwa vitu vifuatavyo:-
  • Hatutakubali wasichana wetu kuolewa na mkibosho
  • Nyumba zote mlango wa kuingilia usiangalie upande wa magharibi kwani ndiko upande wa wakibosho
Nitaendelea...........................
 
You know it's what mimi ni real kibosho hila hizo mambo ni kale people were not educated sasa poaaaa.
 
Ukisikia majina haya ujue huyo ni mkibosho; Chuwa, Kimboka, Malya, Mmasi, Mkiwa, na ukisikia majina haya ujue huyo ni Mmachame: Mengi, Mmari, Shoo, Mwasi,
Ukisikia majina haya ujue huyo ni wa Rombo: Laswai, Shirima, Utouh, Kavishe, Ngooh, Tairo, Tesha, Mshanga, Kinabo, Tarimo, Urassa. Ukisikia majina haya ujue huyo ni wa Marangu: Marialle, Ruwaaichi, Monyiaichi, Munguatosha, Mrema, Mbatia. Hayo ni baadhi tu na kwa sehemu hizo chache. Take note majina haya yapo sehemu zote za uchagani: Massawe, Moshi, Swai, Lyimo,
 
Aisee...kwa hiyo kumbe Mengi ni Mmachame.
 
Mkuu umesahau: Mushi, Sawe,Lyatuu, Kweka, Muro, na Mboro!
 
Ninyi mmetangulia sisi tuna kuja nyuma.

tatizo lenu kubwa ni ardhi.

Sasa hivi mesha jihudhuru kujenga kwenu.

Hata mkiwa na nia ya kujenga,

Kiamba siku hii mnagawana midizi mitatu,
ardhi hakuna.

haaa...haa..haaa! vipi ndugu yangu elimu ni zaidi ya mali nyingine yeyote, tulielimika , tumeelimika na tunazidi kusonga mbele.Pamoja na tatizo kubwa la ardhi tulilonalo uchagani pindi issue ya ujenzi wa shule inapokuja ardhi siyo tatizo. Na sasa tumeanza kujenga gorofa ili kukabidhiana na tatizo la ardhi. Na hili si kwa majengo ya serikali tu bali hata kwenye makazi ya watu!Kwa hiyo ndugu yangu kwa watu wenye shule matatizo yanajitatua yenyewe tu.Tunajenga kwa kwenda juu tu! upooo au juu nako kuna mwisho nini? acha kupumbazika!
 
usidanganye, nilisoma sehemu kuwa nyie wamachame mliwauwa vijana wa kikibosho kwa kuwatahiri vibaya na ndio Mangi Sina akarevenge kikubwa.
 
Tunapumbazika ndiyo maana,
Private University ziko kibao huko kwenu.

haaa...haa..haaa! vipi ndugu yangu elimu ni zaidi ya mali nyingine yeyote, tulielimika , tumeelimika na tunazidi kusonga mbele.Pamoja na tatizo kubwa la ardhi tulilonalo uchagani pindi issue ya ujenzi wa shule inapokuja ardhi siyo tatizo. Na sasa tumeanza kujenga gorofa ili kukabidhiana na tatizo la ardhi. Na hili si kwa majengo ya serikali tu bali hata kwenye makazi ya watu!Kwa hiyo ndugu yangu kwa watu wenye shule matatizo yanajitatua yenyewe tu.Tunajenga kwa kwenda juu tu! upooo au juu nako kuna mwisho nini? acha kupumbazika!
 
Tunapumbazika ndiyo maana,
Private University ziko kibao huko kwenu.

Sasa MDAU, kama serkal nayo itajenga ''Li-UDOM'' Moshi, Dodoma atajenga nani? Tusianze kubishana ujinga. Tuwaache wachaga na mishe zao kweli private wanawekeza sana uko uchagani kuliko ujiji au bahi. Kikubwa ni elimu sio Uprivate au Ugovrnment... Simpo.
 
Back
Top Bottom