Nisaidieni jamani kuhusu hili!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni jamani kuhusu hili!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mbisom ramos, Aug 20, 2012.

 1. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Jamani eti kuna uwezekano wa kumtoa msichana bikira halafu asitokwe na damu!!? maana me sielewi
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  yah....bikira huwa mara nyingi ina kauka.....
   
 3. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,130
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mmmh! Changa la macho hilo!
   
 4. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Cjakuelewa huwa inakaukaje!?
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,017
  Likes Received: 5,187
  Trophy Points: 280
  Bikira sio lazima atoke damu, kumbuka michezo mingi ya utotoni kama kupanda baiskeli n.k huondoa bikira....

  Je alipata maumivu makali wakati mnaduu? If yes inawezekana kweli ni bikira, ila kama ulipata ushirikiano wa kutosha, na akakukatia viuno, mkabadili style zote ujue umeliwa....

  By the way hongera, eid umesherekea kwa utamu, loh
   
 6. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Inawezekana kweli changa ila mbna zile sehemu ni ngumu kiasi mpaka hata mm naumia!?
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,419
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  mleta mada yawezekna kabisa kumbikiri mtu ila asitokwe na damu. mfano binti wengi waliokulia maisha ya vijijini kazi ngumu kama kupanda juu ya mti kukata kuni kuendesha baiskeli hufanya vile vi hyphen kuwa weak zaid na pengine vinatoweka bila hata kuingiliwa kimwili. Binti wa namna hii huwa hana tofauti na yule ambaye hivi vi hyphen vipo ila tu huyu hatatokwa na damu kama akiandaliwa vizuri ili asichubuke lkn atakuwa na maumivu makali wa tendo la siku ya kwanza hadi azoee.

  usikarii kwamba kila bikra lazima atokwe damu. mfano kuna incidence labda binti kapata PCO AMBAZO ZIMELEAD KWENYE DYSIFUNCTIONAL BLEEDING, kitabibu itabidi wamfanyie D&C hata kama ni bikra sasa wafikir utaikuta tena? yapo mazingira mengi sana ila tu ubikira wa mtu ni uaminifu wake ulioko moyoni basi.
   
 8. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hakuna ushirikiano wowote zaidi ya kutiwa makucha shingoni na kumwagiwa machozi!!!!
   
 9. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
   
 10. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,419
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,980
  Likes Received: 9,824
  Trophy Points: 280
  Umenena vema!   
 13. m

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,419
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  rutta nakumije sasa idi hii? hivi hata salam tu imekuwa ngumu? lol basi pokea za kwangu zikiwa zimejaa upendo na baraka na maombi ya kufanikiwa ndani ya kapu la salam za jf. ujumbe ukifanikiwa usinisahau
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,419
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,899
  Likes Received: 14,503
  Trophy Points: 280
  Shabash! Umemsoma BADILI TABIA hapo juu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,017
  Likes Received: 5,187
  Trophy Points: 280
  then inawezekana ni bikira, tena bora kakutia kucha, wengine wanakungata kabisa.....


   
 18. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,285
  Likes Received: 1,192
  Trophy Points: 280
  Kwani sehemu kuwa ngumu ndo ubikra umesahau kuwa hata sugu huota kama mtu atasuguliwa sana.
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,348
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Ujuzi hauzeeki na elimu haina mwisho,leo nimejifunza mawili matatu hapa.
  Eid mubarak wana mmu.
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,980
  Likes Received: 9,824
  Trophy Points: 280
  ooooooooh unajua nilikuwa nasoma hii nondo yako hata kukupa salam ya Eid nikasahau lol

  Eid mubarak

  Asante kwa baraka nawe zikufate pia, furaha iongezeke bila kusahau busara na upendo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...