Sifa ambazo hazina maana ktk maisha..

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Kuna mkaka nimemkuta anasema jana hakuna kitu alichofaidi kama **** za bure kwa sababu sikukuu wanawake wanalewa sana na kujisahau kwa nn sikukuu tunafanya ndo siku za maovu?
 
Huyo ni insane. La alibemendwa, au alipigwa kifafa cha utotoni, au alipata homa ya degedege, au aliugua Polio kama si surua. Si bure.
 
Kuna mkaka nimemkuta anasema jana hakuna kitu alichofaidi kama **** za bure kwa sababu sikukuu wanawake wanalewa sana na kujisahau kwa nn sikukuu tunafanya ndo siku za maovu?

Nilishawahi kusoma mahali kuwa mwanamke akishalewa anakuwa maharage ya mbeya, so sioni ajabu jamaa kusema nanilii zinakuwa za bure
 
Mi sioni point ya kufunga mwezi mzima afu mkifungulia dhambi na anasa zile zile huu unafiki huu

Nilikuwa siamini kama hawa wafungaji siku wanafungua hufanya mambo ya ajabu sana,jana ndio nimejionea binti kalewa mpaka anarudisha chenji hovyo..
 
You can easily judge
the character of a man
by how he treats those
who can do nothing for him.
 
Back
Top Bottom