Kumbe kuna dawa ya wanaume wakware. Lol. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kuna dawa ya wanaume wakware. Lol.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nyumba kubwa, Aug 18, 2012.

 1. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  [h=1]MUME: MKE WANGU KANIIBIA NYETI[/h]

  [​IMG]
  [​IMG]Na Makongoro Oging’
  UNAWEZA usiamini lakini ukweli ni kuwa Juma Ali (48), mkazi wa Mtoni jijini Dar es Salaam amedai kwamba mkewe, Hadija Chande (40) (pichani) amemchezea kishirikina, hivyo kujikuta hana nyeti ya kiume.
  Taarifa kutoka katika vyanzo vyetu vya habari zimedai kwamba Ali kwa sasa hana uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuwa nyeti yake imetoweka kimiujiza na shutuma zote anambebesha mkewe kwamba ndiye aliyefanya ‘mchezo’ huo.
  Habari zinadai kuwa kutokana na hilo, kumezuka mgogoro mkubwa kati ya wanandoa hao kwani mume amekuwa akimdai mkewe arejeshe nyeti yake, jambo ambalo halijawezekana.
  Imedaiwa kuwa Hadija, mara baada ya kufunga ndoa na Ali mwaka 1996 alikuwa na wivu wa kupindukia, hivyo kuamua kutafuta dawa na kumfanyia mumewe ili ndoa yao izidi kuimarika lakini mara baada ya kutenda alichoambiwa afanye kama dawa, nyeti ilitoweka na kubaki na ‘kipande’ kidogo cha kusaidia kutoa haja ndogo.
  “Kutokana na madai ya Ali, mkewe aliamua kufungasha virago na kutoweka nyumbani na kwenda kusikojulikana wakati mumewe yupo kazini,” kilisema chanzo.
  Gazeti hili baada ya kusikia habari hizo za kushangaza, lilimtafuta Ali ambaye baada ya kuulizwa kuhusu mkasa huo alititirisha maneno kama ifuatavyo:
  “Ni kweli hayo uliyoambiwa. Kwa sasa ninachomdai mke wangu aliyetoweka ni nyeti yangu, naomba anirudishie kwani ufumbuzi wa mgogoro wetu hauwezi kupatikana kamwe kama hatazirudisha.
  “Hapa unaponiona ndugu mwandishi mimi siyo mwanaume tena. Sina ‘kitu’, hapa kimebaki ‘ kipande’ kama kalamu ambayo haifanyi kazi yoyote. Mke wangu nilipomuoa alinikuta nina watoto sita niliozaa na mke niliyemuacha mwaka 1994, sasa hivi siwezi kufanya tendo la ndoa.
  “Mgogoro wa kutoweka na nyeti yangu ulianzia mke wangu alipoanza kunilalamikia kuwa natembea nje ya ndoa na akaniahidi kuwa ni lazima atanidhibiti. Madai yake niliyapinga lakini nguo zangu za ndani zikaanza kupotea. Nilipomuuliza alisema angeninunulia nyingine, nilikuwa na mashaka naye, nikamuomba anirudishie lakini hakufanya hivyo.
  “Mara tu chupi zangu zilipoanza kupotea, nikawa sisikii hamu ya tendo la ndoa. Mwezi uliopita, nyeti yangu ikawa imetoweka, nilipomuuliza akawa mbogo. Ilipofika Julai 28, mwaka huu, saa sita mchana, nilitoka kazini na kurudi nyumbani lakini sikumkuta mke wangu na nguo zangu za ndani na soksi hazikuwepo pia.
  “Licha ya nguo, picha zangu nazo alizichukua na nilipomuuliza mtoto wangu Karim akasema mama yao amesema kabeba vitu vyake vyote ndani ya nyumba na hakumuambia anakokwenda.
  “Nilikaa siku tatu, nikaamua kwenda serikali ya mtaa wetu ya Mtoni na wakanishauri nikaripoti polisi ambako nilipokwenda walifungua jalada namba namba MTG/RB/2054/2012. Polisi waliniambia nitakapomuona popote niwaarifu ili wamkamate.
  “Nilisafiri kwenda mikoani na niliporudi nilikuta barua kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) wilayani Temeke ikinitaka niende katika ofisi zao kwa kuwa mke wangu kafungua shauri la kutaka talaka, jambo nililogundua kuwa alishauriwa na rafiki zake ili nimpe nyumba.
  “Najua kilichomtoa mke wangu nyumbani ni kushindwa kunirejeshea nyeti yangu, hapa ameshaniua hivyo siyo rahisi kwake kurudi kwani hatafurahia tendo la ndoa. Ili kesi hii iishe sharti ni moja tu kwamba anirudishie nyeti yangu,” alisema Ali.
  Mke wa Ali, Hadija alipohojiwa kuhusu sakata hilo alikuwa na haya ya kusema:
  “Mbona na mimi sizai na sina hata mtoto wa dawa? Kuhusu kwamba nimetoweka na nyeti yake ni kwamba mimi sijui mambo hayo, asinifuatefuate.”
  Mjomba wa Hadija, Abdalah Chande alipoulizwa kuhusu sakata hilo, alikiri kuelezwa na Ali kuhusu mgogoro huo na kudai kuwa alimzushia kuwa yeye ndiye anayemharibu mpwae (Hadija) na akampiga marufuku kukanyaga nyumbani kwake, akaahidi kushirikiana na baba yake mdogo kutatua tatizo hilo.
  Baba mdogo wa Hadija aliyejitambulisha kwa jina moja la Juma alipoulizwa kuhusu mgogoro huo alisema hautambui lakini alimlaumu mwanaye huyo kwa kupeleka shauri hilo Bakwata kabla ya kulifikisha kwake.
   
 2. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Damn,this strange world
   
 3. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  eeer chezeya mbeijing wewe

  mwanamke akiamua kuwa mnyama, wacha kabisa...

  pole yake bwana Ally, akaombewe sasa...............lol
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nasoma comments; jamaa mmoja anasema itabidi ahakikishe mkewe haoni hiyo habari...maana ana wasiwasi asije naye akamtafutia mganga.


   
 5. salito

  salito JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Dunia inamambo wakuu,yaan ukistaajabu ya musa....
   
 6. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahahaaaaa.....

  kamtia mwenzie ulemavu wa maisha jaman ....................
  kamuondolea kiungo cha muhimu sanaaaaa.................
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Amshukuru Mungu amemuachia hata icho kidogo kwa ajiri ya haja ndogo...hapo ana uhakika wa kuendelea kuishi...ku do si lazima.

  Afu jamaa HB tu...ukiona mwanaume ameamua kuweka tatizo kama hilo adharani yani lazima atakuwa amechanganyikiwa. Yani ametiririka tu kwa waandishi wa habari.


   
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Na kutokuwa na mtoto kunaongeza insecurity kwa baadhi ya wanawake...

  Ila mapenzi ni kizungumkuti...huyu sawa ni mshirikina...

  Nimesoma Yahoo juzi kati kuna dada mid 30s alikuwa anamwekea sijuhi boyfriend sijuhi partner drops za dawa za kusafishia macho (from red to white) kwa miaka kadhaa ili tu apate attention huko USA. Bwana ana miaka 48. Sijuhi kama atapona.

  Hivi sasa dada ana case kwani huyo bwanake amekuwa affected na dk amegundua ni sababu ya kunywa eye drop kwa muda mrefu...binti kakubali eti alitaka attention. Sijuhi attention gani au kivipi...labda alitaka augue awe anakaa ndani na si kukitembeza. Chezea wivu weye!!!
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nothing impossible to JESUS let him come en he''ll see the different!
   
 10. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Lakini cha moto atakuwa keshakiona na itabidi atulie na mmoja kama si kususa kabisa.


   
 11. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  huyo mwanamkw kabila gani...p.u.m.b.a.v zake
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Haya ndo mazingaombwe
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Labda uulize kabila la huyo mganga...mwanamke wa kabila lolote anaweza akafanya alofanya huyu mwanamke kwani yeye si mchawi ila ni mshirikina...katumia mazingaombwe ya mganga.

  Wakati tunasoma nikiwa o level kuna dada ambaye alishawahi kuwa miss Tz alipata kashfa ya kumwendea boyfriend kwa mganga wakati dada anatokea familia bora na kabila lake huwezi kudhania kuwa angekuwa na hiyo akili. Mashostito wake ndio walimpeleka kwa huyo mganga na hao hao ndio walivujisha siri.


   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,606
  Likes Received: 82,181
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. mito

  mito JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,011
  Trophy Points: 280
  Mapenzi ni kaazi kweli kweli....

  Ina maana hapo ndo ameishabaki kula kulala kabisaaaaa, hakuna nyeti, hakuna hisia ......sipati picha

  Ila nashangaa jamaa anakazania tu nyeti zake, sioni anapozungumzia hisia, si bora hisia zirudi anaweza kuwa anagusisha tu hicho kipisi kilichobakia
   
 16. MMDAU

  MMDAU Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamaa ashukuru kabisa kwani angeondoka na toilet paper angeshindwa ku stanji vile vile kampunguzia grarama ya kununua condoms kama awali namambo ya ukimwi anayasikia radion tu
  napenda kumshauri amwombe taratibu taratibu asije akakamalizia kabisa na kuondoka na goodmorning zake zote mbili
  kwasababu mtu wa namna hioyo sio mwenzako kabisaaa
   
Loading...