Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Getting married is simple. It’s a no brainer. People do it all the time. But to stay in marriage? That’s where the real work starts. Everyday, people get married, take spectacular and glossy...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mambo binafsi akifanya mwenzangu najisikia noma, aibu na yananikosesha raha kuliko: Upo sehemu ya starehe. Meza ya karibu nawe kuna wanaume wawili na wanawake mmoja ya wanaume anaonekana...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwanza wadada wengi upenda kuendesha gari,huku wakijua hawana uwezo wa kununua gari.Mapedeshee wa mjini umuonga mrembo gari bila kumpa card ya gari,hivo mrembo ufurahia hiyo gari na kuwaringia...
8 Reactions
102 Replies
14K Views
huwa nakerwa sana na hii tabia ya wazee hadi vijana kubeba lunch boxes kutokea majumbani mwao.......mchakula wa jana jioni unapashwa moto saa 7 mchana unaliwa ofisini..kila mtu na bakuli lake...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
It sounds VERY UNFAIR to me when i sit down and ask myself as to why didn't i get married to my first love?I love my wifey,YES.....! but why did i meet her while i am already polluted? why...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
Wadau habari zenu! mimi imeniwia vigumu sana kujua wakati ambapo mwanaume anapotoka kudo nje ya mahusiano utamjuaje? maana wengi huwa wanajikausha huwezi hata ukahisi kitu...jamani tusaidiane...
0 Reactions
116 Replies
33K Views
Wakazi wa Kata ya Bashnet, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara wamelaani kitendo cha mkazi mmoja wa Kata hiyo kuwaingilia mbuzi, na wameitaka serikali kumchukulia hatua kali za kisheria. Baadhi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NI KWELI KWAMBA ASILIMIA 90 YA WANAWAKE HUOLEWA NA WATU WASIOWATEGEMEA/WASIOWAPENDA,WAKATI ASILIMIA HIZO 90 ZA WANAUME HAO HUPENDA NA KUOA YULE WANAYEMTAKA...Hii ni kutokana na mila zetu za ki...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Pata picha: Mtu anakuomba hela ya bia au soda, unampatia Tsh 2000/= Alafu huyo huyo uliyempa hela anakwambia "Yaani unanipa elfu mbili?? dharau hiyo!" Wewe unasemaje hapo? hapo hajakwambia...
4 Reactions
74 Replies
5K Views
Kumekuwapo na malalamiko na vilio miongoni mwa wanandoa kuwa wenzi wao hawanaga pumzi ama wanaharaka, wengine wao wakiona mahakama jaji wao hasubiri hata kusomwe mashtaka ye hapohapo atatema...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Dunia inamambo mengi sana wakati nikomdogonilijuakuamaisha niubwete sana na kuishi na mawanamke nijambo ambalo kilamtu analiweza lakinibaada ya kupata akili timamu nimegundua kua yakupasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
habari wanajamvini... ningependa leo niwaombe wanaume watuelewe kama mlikuwa hamtujui, zaidi nazungumza na wanaume walio kwenye mahusiano, unaweza umkuta mpenzi wako amenuna na usijue...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dear ........, Najua wewe ni mpz wa JF na ujumbe huu utakufikia. Kumbuka kwamba huu ni mwaka wa tano tangu univike pete ya uchumba. Baada ya kunivika pete ukajihalalishia kunigegeda kadri...
9 Reactions
74 Replies
10K Views
Kwanza napenda kuwashukuru nyote mlio komenti katika thread yangu ya "natafuta mwanamke wa kumlipa anizalie mtoto kwa mkataba" ingawa wengine tulipishana kimtazamo katika kuwekana sawa naomba...
0 Reactions
97 Replies
8K Views
WASIOOA – WALIOACHIKA - KUFA MAPEMA. Utafiti mpya wa masuala ya uhusiano umebainisha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 35 na 40, ambao hawajaoa au kuolewa wapo kwenye hatari ya kufa mapema...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
kutokana na kifungu flani (maloya wengine ni wakupe tukiwapa wataenda kukibadilisha itatolewa tu kwa ruhusa ya loya wangu). Open marriage inaruhusiwa kabisa kwa wanandoa kwa kuzingatia vigezo na...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
1.Furaha 2.Nyota 3.Sina 4.Faida 5.Vita 6.Amani 7.Bahati 8.Siri 9.Neema 10.Sikitu 11.Aina 12.Bedui 13.Taji 14.Faham 15.Sinabahati 16.Fimbo 17.Fahari 18.Siwema 19.Wema 20 Sikujua 21 Siwema 22.Mazoea...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Ndugu wana jamiiiii kama kuna yeyote anaye jua kwamba kufanya mapenzi kila siku kuna madhara anihabalishe wandugu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Zama za awali mahusiano yalipokuwa matamu bint alipata mpenziwake. kwenye simu akam-save.......... 1. urafiki wa mwanzo(boy friend) --------- ----SWEET HEART 2. baadaye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hay wanajamvi Leo nimeona niingie kwa namba 1 kama ipo kitu kinachonishangaza mie ni hawa watu yaani binadamu kwa kuwaangalia au kuwatazama huwezi kuwamaliza hata punje ya haradali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom