Mgonasipapune
Member
- Jan 10, 2011
- 63
- 14
NI KWELI KWAMBA ASILIMIA 90 YA WANAWAKE HUOLEWA NA WATU WASIOWATEGEMEA/WASIOWAPENDA,WAKATI ASILIMIA HIZO 90 ZA WANAUME HAO HUPENDA NA KUOA YULE WANAYEMTAKA...Hii ni kutokana na mila zetu za ki Africa...Mwanamke anaweza mpenda mtu but asiwe na UJASIRI wa kwenda kumwambia na matokeo yake anasubiri Mwingine atokee na AMTONGOZE..Sasa fikiria katika Ndoa pale ndo mmeshaoana na kuzoeana halafu huyu Mwanamke one day anakutana na kutongozwa na Yulee aliyempenda enzi hizo.....SIMO