Unajua namna ya kudumu muda mrefu ktk mechi?...

Unajua namna ya kudumu muda mrefu ktk mechi?...

Dr. Ndimu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
717
Reaction score
146
Kumekuwapo na malalamiko na vilio miongoni mwa wanandoa kuwa wenzi wao hawanaga pumzi ama wanaharaka, wengine wao wakiona mahakama jaji wao hasubiri hata kusomwe mashtaka ye hapohapo atatema hukumu hata km hajaingia ndani, sa baada ya kutafakari nkakuta kuna habari za namna ya kuchelewa kufunga magoli mana hii ndo mechi pekee mashabiki hawataki magoli ya haraka. Mi ntawapa njia moja nayo ni kutoa mpira nje ya uwanja wa dakika kadhaa utaona maforwad wanarud nyuma then unaingia tena uwanjani.haya wataalam hebu tupeni na zingine,tarud kuwapa za ukweli.
 
Dawa ya asali ni asali tu, ukipiga asali za inyoga lazima utawaona wanavyo kunyongea :biggrin1:

Mambo ya kuchelewa na kuwahi si akili tu, kama akili yako unaitumia vizuri, hakuna sehemu uta fail dogo.

Siku njema.
 
Hahahaa wengine wanapigania Gesi wengine very busy wanapigania Kipuri!
 
Heee.... Inawezekana kweli hii kitu ikawa ni tatizo..!
 
Mimi natumia ya kujing'ata ulimi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
First aid, mazoezi ya viungo (ili kujenga uvumilivu wa misuli) simplest ones but the best ni pushups za kutosha and squarts
 
dawa ni lishe bora 2 kama unakula mlo wa kuvizia vizia utawapataje hao wazungu
 
Kumekuwapo na malalamiko na vilio miongoni mwa wanandoa kuwa wenzi wao hawanaga pumzi ama wanaharaka, wengine wao wakiona mahakama jaji wao hasubiri hata kusomwe mashtaka ye hapohapo atatema hukumu hata km hajaingia ndani, sa baada ya kutafakari nkakuta kuna habari za namna ya kuchelewa kufunga magoli mana hii ndo mechi pekee mashabiki hawataki magoli ya haraka. Mi ntawapa njia moja nayo ni kutoa mpira nje ya uwanja wa dakika kadhaa utaona maforwad wanarud nyuma then unaingia tena uwanjani.haya wataalam hebu tupeni na zingine,tarud kuwapa za ukweli.

Tatizo kuna wengine hata huo muda wa kupaswa kutoa mpira nje hawaujui
 
dawa ni lishe bora 2 kama unakula mlo wa kuvizia vizia utawapataje hao wazungu

kitufe cha like hakipo but take it...Ila je nyie wake zetu mmefundishwa/mnazijua lishe bora kwa waume wenu??????!!!!!!
 
sasa unatoa mpira uwanjani kwa muda gani? Na wakati huo unamaintain vipi status ya timu pinzani ili ukirudi tu wewe unaresume na hurudi back to square one!!? Just curious
 
Matatizo ya teenager hayo,wazoefu hawaongelei stori hizi
Charger, hilo sio tatizo la teenegers tu...watafiti wamegundua kuwa wanaume wengi wana tatizo la kufunga magoli haraka, wengine hata kabla refa hajaanzisha mpira.

Nadhani kama mtu ana tatizo la namna hiyo ajaribu kwenda apate ushauri zaidi, siku izi kuna sexiologists, wanashauri jinsi ya kula, mazoezi, ku-tune ubongo wako wakati uko kwenye mech. It's been an embarrassment to many men so we shouldn't ignore it..it's a problem
 
kwa sie wazoefu si kila siku lazima uingize ndani mnaweza mkanyegezana weeee hadi kila mtu anatema kivyake vila hata kuparamiana sijui kutiana na raha na kuridhika kunakuwa pale pale tu, kwanza mambo ya kutiana weee mwisho mchubuane kutafuta risk za magonjwa bureeee
 
Acha kuijdanganya wewe! K yake mboro! vidole na midomo mbwembwe tu, shauri yako utaibiwa
 
kitufe cha like hakipo but take it...Ila je nyie wake zetu mmefundishwa/mnazijua lishe bora kwa waume wenu??????!!!!!!
yaaah me najua mume wangu anatakiwa ale chakula gani 7babu naenda kwa ratiba sio kama nikilala nikiamka nakurupuka 2 lazima uwe na mpangilio mzuri wa vyakula hivi unajua mwanaume anahitaji kupetiwa petiwa
 
Kuna kujishika ktk ankle kwa mkono ukiona wazungu wanakuja,huwa wanarud wakanze upya safari.
 
Back
Top Bottom