Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,201
Dear ........, Najua wewe ni mpz wa JF na ujumbe huu utakufikia. Kumbuka kwamba huu ni mwaka wa tano tangu univike pete ya uchumba. Baada ya kunivika pete ukajihalalishia kunigegeda kadri unavyotaka, nami nilikubali kwa kuwa niliamini kwamba utakuwa "mme" siku si nyingi. Nilikupenda, kukuheshimu na kukupa upendo wangu wote. Linalonisikitisha ni kuona siku zinazidi kupita na wewe hata huzungumzii mpango wa ndoa! Nikikuuliza jibu lako siku zote ni "bado kidogo" Naomba nikuambie wazi kwamba yafuatayo yamenichosha:- 1. Nimechoka Kugegedwa kwa muda wa miaka mitano bila matunda yoyote 2. Nimechoka Kuitwa "miss" Binti.com 3. Nimechoka Kukunyonyesha wewe libaba zima (mimi sasa natamani kunyonyesha "baby") 4. Nimechoka kunyonya dushelele lako kila siku wakati sina uhakika kama litakuwa mali yangu au utalimilikisha kwa mwanamke mwingine. Napenda nikukumbushe kwamba Chelewa chelewa utakuta mwana si wako. Niko radhi kujisalimisha kwa babu Asprin kama mke wa tano kuliko hii subira isiyovuta heri. NIMECHOKA