Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana MMU!!!!!! Napenda kuwatakia wote siku njema na yenye mafanikio, tulilinde na kulitunza penzi letu vyema, kwa wale wenye ndoa na wasio na ndoa, tuwe waaminifu katika...
27 Reactions
53 Replies
7K Views
Nimejifunza na kuamini wanaume tuna true love kuliko wanawake, our love is for real, sema hatukutani na wale wenye real love like us ndo maana tunaamua tuwe pasua kichwa.. Nina imani...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Leo ni Ijumaa ya kwanza ya Kwaresima. Wengi tumesali Njia Ya Msalaba. Nina wakaribisha wote Walioshiriki Ibada ya safari na Bwana Wetu Mkombozi - Akitolewa upande wa Kaskazini mwa mji hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina miaka 28 sasa, nimesoma mpaka chuo kikuu na shahada ya Business Administration nimeshuhudia jinsi marafiki zangu walivyowakimbilia kina dada wa chuo eti uchumba wakati tunasoma na wengi wao...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini waungwana,.. Kwa muda mrefu nilikua nikielezwa kuwa mama mkwe wangu hataki niishi na mwanae na alikua anamshawishi mume wangu aniache na amuoe mwanamke aliyemtafuta yeye kwa madai alimzaa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
I'm serious looking for a GIRL of whom shall be my wife in the near future,the girl must beautiful by nature,aged between 23-27,educated one,have true love.Mostly important she must have...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Happy valentine day wana jf. Natumai wenzangu mnazibua shampein na maua ya kumwaga plus mikiss ya hatari ndani ya siku ya leo mungu awatangulie na awalinde..... Tatizo lipo upande wangu coz nina...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Happy Valentines Day kwenu nyote. Katika kusherehekea siku hii napenda kuwa na ninyi nyote na kwakua ni ngumu sana kuwa na kila mmoja physically basi naomba hapa ndani ya key board tuwe pamoja...
11 Reactions
128 Replies
8K Views
KUNA RAFIKI YANGU AMENIPIGIA SIMU JANA, Ameogopa sana ANAOMBA USHAURI, Ni mwanachuo, ametongozwa na wanaume wawili humo darasani kwao, amewakataa wote wawili, Sasa, kuna mmoja wa hao wanaume...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kanambia ananipenda kuliko mwanaume yeyote duniani Ni mdada alinifuata na kunambia hivyo mie nkamuuliza hana uhusiano na mwanaume yeyote akanijibu hakuna zaidi ya wale wanao msumbua tuu Nkampa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana jamvi, Naombeni ushauri, unafanyaje mume anapokuwa busy mno na hana nafasi kwa ajili yako wala familia yake?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Valentine died for love, . . . Romeo also died for love, . . . Jack in titanic died for love, . . . Samson in the Bible died for love, . . . Greek heroes Hercules & died 4 love...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni Kijana wa kiume nina mahusiano na my Girlfriend for almost two years na tulikubaliana mwezi huu tukatambulishane kwa wazazi,na Mungu akipenda tufunge Ndoa Mwaka Huu kwa kweli tulikuwa...
1 Reactions
82 Replies
6K Views
Wapo wanaosema eti ni hisia. Wengine wanasema kuwa ni uamuzi. Wale tunaojua ukweli tunasema ni mazoea.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Elimu yangu ni ya chuo umri wangu ni miaka 30.Ninaishi Arusha.nahitaji msichana mwenye miaka 20-25 awe mkristo kabila lolote.MY phone no 0687460635
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Alisikika rafiki yangu wa karibu kabisa akisema maneno hayo! Ni Mtu wa makamo tu kama miaka 35 hivi, Kasema yaani siku hizi anaweza akakaa hata mwezi na nusu au zaidi hana hamu ya ku do na mkewe...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa kweli sijapata ile huduma ya papuchi kwa muda mrefu toka mwaka jana august, Yaani kwa sasa nikikaa idle then nikapata mawazo kidogo tu, dushelele fasta tayari ameshaenda winga! Hv kuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huko Italy katika mji wa Siena ambao ni maarufu kwa mambo mengi, kuna sheria ya ajabu kidogo. ni ya ajabu kwa sababu, ingawa imejifunga na imani, lakini imesahau kwamba, jina ni jina tu. Kwenye...
9 Reactions
44 Replies
12K Views
Kuna dada alikuwa ameolewa amekaa na mume wake 12 years ndoa ya kikristo hawakuwa na mtoto mwaka 2010 mwanaume alimshutumu wife kutokuwa mwaminifu akamfukuza bila hata nguo,na kagoma kumrudisha...
6 Reactions
70 Replies
7K Views
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.' Na Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' There is no other commandment more...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…