Sura hiyo hapo juu ni ya mwanamke. Hebu itazame vizuri sana, kuanzia midomo, pua, macho na paji la uso. Hiyo ni sura ya mtu wa namna gani kitabia na je, umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye sura...
Kwa wale watumishi waadilifu wenzangu, naona bado kama dakika 15 kufunga duka a.k.a kutoka ofisini na kuvizia kama lift za STK au DFP kama bosi anaelekea upande unaoenda. basi wakati ukisubiria...
hello.hivi kwanini utakuta mama amezaa watoto kma wanne hvi, afu ktk hao mmoja wao anamuogopa.(mwanaume)hta hawez kumwambia ladba amsaidie ki2 fulan mpk smtms apitie/amwambie kwa mke wa mtoto wake...
HAYA NDO MAISHA: Unamnunulia mke wako SIMU, mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA; Huo ni mgawanyiko wa majukumu.Unamlipia mkeo ADA ya chuo,mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL; Huo ni...
Kristu Tumailetu! (Romans mambo ya Kwaresma)
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ukistaajabu ya Musa hujayaona ya mkeo kujichubua! Umemuoa mweusi ghafla kageuka mwarabu wa Doha! Sasa sijui...
Hellow Wanajamvi...!
Nilingia katika relation na huyu dada bila kujua kuwa ni mke wa mtu,sio mimi niliyemtokea bali yeye ndiye aliyeniwekea mazingira yaliyopelekea kuwa nae katika mapenzi...
kuna dada moja hajielewi juu ya kuchagua mchumba kwani anao kama watano,wote wanaleta mahitaji mbalimbali kama pesa ya ma2mizi,vocha.Wote wanapata huduma ya tunda kwa muda tofauti.wengine hupata...
Habari zenu wana MMU!!!!
Leo nataka niongee na wanandoa, Yes wewe mume haswaa!
Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo,
unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni wa...
Hii ni nini?
Zainab
Every Thursday on GH One at 8:00pm, Ghana's outstanding Entertainment mogul, Amanda Jissih breastfeeds the country with her E-Talk show. With less than a year appearance...
Salute,
A successful marriage requires falling in love many times, always with the same person.
Getting married is one mistake every man should make.
All that a husband or wife really wants is...
Wife is pregnant and hates me?Hi my wife is in her 2nd Trimester and it seems like I can do nothing right.
We fight like cats and dog. We have only been married for about 4 months, I brought 2...
mimi ni msichana mwenye miaka 25 ambaye nina mpenzi tunayependana sana ila tatizo ni kwamba,tukipiga mechi huwa napata maumivu makali sn,na tatizo hili hutokea baada ya mechi ya pili kuanza na...
Ilikuwa saa tisa usiku mama mwenye nyumba mmoja alikuwa amelala akasikia mlango ukigongwa baada ya kufungua akamuona mwanamke mmoja walikuwa wanafahamiana nae akiwa na mizigo yake baada ya...
ni mda mrefu tangia 2anze mahusiano yetu lakini napatwa na wasiwasi juu ya mwenzangu kila ninalofanya yeye haoneshi kama anakereka nalo au kuonesha reaction yoyote. Naombeni ushauri wenu...
Mnaweza kufikia umri huu bila mtoto na ndoa ikaendelea kuwa ya upendo.......
Inaelezwa kwamba wanawake huwa wanavurugikiwa sana kiakili pale wanapogundua kwamba hawana kizazi au hawawezi kupata...
Hapa Jamvi haipiti wiki hujaona umeshushwa uzi kidole kaelekezewa Mwanaume.
Kidole cha lawama na mashambulizi makalimakali, maneno kama :
> Wanaume hawaridhiki.
> Wanaume wengi baadhi yao...
Picha haihusiani na habari hii........
Nilikuja Dar mwaka 1990 kwa mara ya kwanza. Nililetwa na mjomba wangu kwa ajili ya kuzungumza na mzee mmoja ambaye alikuwa anahitaji kijana wa kumsaidia...
........Mungu akaona si vyema Mkonowapaka awe peke yake........akamfanyizia msaidizi wa 'KUFANANA NAE'....nae mkonowapaka atamuacha baba yake na mama yake nae ataambatana na...
Habari kaka na dada zangu,me ni kijana wa kiume 24yrs,naishi Mwanza.
mtakumbuka niliwahi kutoa story yangu fupi ya mapenz jinc nilivyotendwa na kinadada richa ya mapenzi ya kweli niliyonayo pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.