mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
........Mungu akaona si vyema Mkonowapaka awe peke yake........akamfanyizia msaidizi wa 'KUFANANA NAE'....nae mkonowapaka atamuacha baba yake na mama yake nae ataambatana na mkewe.........!!watakua mwili mmoja...........!!naaam it has come to an end and confirmed that am getting married this very early July..........
to be honest michango yenu naipenda sana tena sana........ila tu naanzaje kuanika mnamba hapa!!!!!:whoo:
to be honest michango yenu naipenda sana tena sana........ila tu naanzaje kuanika mnamba hapa!!!!!:whoo: