Nitamuamini vipi kama ananipenda ?

Nitamuamini vipi kama ananipenda ?

BASAM

New Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
2
Reaction score
0
ni mda mrefu tangia 2anze mahusiano yetu lakini napatwa na wasiwasi juu ya mwenzangu kila ninalofanya yeye haoneshi kama anakereka nalo au kuonesha reaction yoyote. Naombeni ushauri wenu, nitamuamini vipi kama ananipenda?
 
huwezi pima kipimo cha upendo kwa kuhusanisha na jambo..ambalo umetendewa..u just know it deep in ur heart either unapendwa au laa..ukiwa na doubts ni vizuri zaid coz..itakufanya ume mguu ndani mguu nje incase mabo yameenda vibaya..sababu hata kivuli chako hujitenga na wewe saazingine sembuse binadamu...?
 
Kwa sasa wewe play part yako, mambo mengine utajua baadae..
 
ni mda mrefu tangia 2anze mahusiano yetu lakini napatwa na wasiwasi juu ya mwenzangu kila ninalofanya yeye haoneshi kama anakereka nalo au kuonesha reaction yoyote. Naombeni ushauri wenu, nitamuamini vipi kama ananipenda?
Kwani umemfanyia nini cha kumkera mpaka akereke? au niseme kua muwazi kidogo ili uweze kupata msaada zaidi..
 
Uoga wako tuu... au unataka wale wanaonuna 24-7 ili kazi yako iwe ni kubembeleza tuu
 
BASAM...kuwa mwazi msg yako iko kwenye fumbo! unamkera kivipi? kuna kero nyingine m2 anaweza kuzivumilia na akaepusha ugomvi usiokuwa na sababu! namaisha yakaendelea! mtoto kafundwa huyo!!....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom