ndugu mwana jf,matumaini yangu mko salama kabsa,naomba kusema yanayonisibu mwenzenu. . .nilitokea kumpenda sana classmate wangu chuoni,nikafanikiwa kumfanya awe rafiki yangu wa karibu sana,siku moja alikuja kucheki movie room tukawa peke yetu,kwa bahati mbaya au nzuri nilipata kumkiss,hapo akahoji kama nilikua na hisia naye ilibidi nimueleze ukweli kwamba nampenda sana,hakusema chochote akaondoka,lakini bado akaendelea kuwa karibu nami,kila nikihtaji mtu wa kuongea nae anakuwepo,hadi watu wakaanza kuhoji ukaribu wetu,siku moja aliniomba twende tukatembee jioni maeneo ya karibu na chuo,tulienda maeneo tukipiga stori za hapa na pale,alipenda sana kunihug,nikafanikiwa kula mate yake kwa mara nyingne,lakini nikimkumbushia kuhusu ombi langu akasema ana mtu,nikaamua kutulia kwanza,lakin bado akawa karibu nami sana,siku ya siku baada ya kuchat kwa muda mrefu akaniambia kwmba hana mtu na alinidanganya kuhusu hlo,pia akasema bdo hayupo tayari kuwa ktk mahusiano kw sasa so ikibidi nisubiri,kama kawaida yangu sipend kumlazimisha nikamwambia poa,tukiwa chuon napenda kwenda naye lunch,kumpa care ambyo kila mwanamke angewish kupewa,siku moja nikamuita geto aje tuongee,hakusita alikuja tena ndani ya muda,nilimuwekea movie ambyo aliwish kuiona siku moja ila alikua hajawahi,so alifurah sana,tulishnda wote tukala na kunywa pamoja,lakin kumueleza kuhusu mm na yeye,akaniambia yupo ktk wakati mgumu sana coz kuna wanaume km wanne wanahtaji kuwa naye na wanafanya kila nifanyacho mie,so anahtaji kufanya maamuzi sahih,so ikibd tuwe marafiki tu,kama kawaida nikambembeleza ila ndo vile,nikaona isiwe shda nikamwambia mengi ila pia ntasubiri,katika kumuhug kujaribu kumla mate,nikaona akarespond tena kashiriki vizuri,halaf baada ya hapo akaonyesha kujutia,so bdo yupo ktk msimamo wake. . . .ndugu mpendwa mwana jf,naomba ushauri wako,nimfanyie nini huyu asinitese hvi coz siwez kuwa rafiki yake wa kawaida,na kila saa akilini mwangu yupo yeye tu,pia sitaki kumforce kunichagua mimi.