Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moja ya taasisi kongwe saana duniani ni "familia". Familia ndiyo kiunganishi cha kwanza cha jamii. Jamii iliyoungana siku zote hufanikiwa kwa kila jambo lifabyikalo. Hivyohivyo, Familia/wanandoa...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Ninahitaji mtu aliye Magugu,Manyara Akiwa anajishughulisha na mchele au mpunga itakuwa Aulaa Zaidi 0744883353
4 Reactions
16 Replies
828 Views
Wakuu, Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9). Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa...
42 Reactions
173 Replies
6K Views
MwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..." ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu...
12 Reactions
66 Replies
8K Views
Aseee, Mimi ndie. FREE ERICK KAFLAG! Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto...
8 Reactions
93 Replies
7K Views
..WAKUBWA humu ndani, Boxing Day ilikuwa Poa Sana kwangu, kwani Ule mzigo nilioufuatilia miezi miwili nyuma ulikuja maeneo. Sasa huku mechi inaendelea Mistaili Kama yote, Kufika Mbuzi kagoma...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
Sasa ni wazi kuwa Kizza Besigye alichumbiana na Janet Museveni mke wa Yoweri Museveni (Rais wa Uganda) kabla ya Museveni kumuoa. Baadaye, Besigye kama daktari wa binafsi wa Yoweri Museveni...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Yapata miaka miwili iliyopita tangu niamue kuachana na binti niliyempenda sana. Ilikuwa hivi.... Binti alikuwa anasoma kidato cha nne mwaka huo,ikatokea nimempenda sana,nikaanza nae...
3 Reactions
7 Replies
571 Views
1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
59 Reactions
147 Replies
6K Views
Mambo vipi watu wa Mungu? Ebana nilikua nauliza,hivi kuna tija au ulazima wowote wa kuwa karibu na ndugu wa mke? Asanteni
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadada wengine aibu hawana. Umemuacha mwanaume wakati amepoteza kipato na haitoshi ukamsaliti tena wazi wazi kila mtu anaona! Kaka wa watu amejipiga ameinuka tena, unarudi na blah blah eti...
14 Reactions
31 Replies
1K Views
1. Uvivu unaua ndoa. 2. Tuhuma zinaua ndoa. 3. Kutokuaminiana kunaua ndoa. 4. Kutoheshimiana kunaua ndoa. 5. Kutosamehe, Uchungu, Chuki, Uovu na Hasira zinaua ndoa. 6. Mabishano yasiyo ya lazima...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika. Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵 Sasa hivi...
2 Reactions
7 Replies
578 Views
Hivi ni kweli kuna dawa za mvuto wa mapenzi? Yani dawa inayoweza kufanya umpate msichana yeyote unaemtaka. Na kama zipo na zipata wapi? Maana kuna mtoto ananisumbua mwaka wa pili huu hataki...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa. Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta...
15 Reactions
89 Replies
6K Views
Habari wakuu. Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia. Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu. Ebana shemeji...
7 Reactions
28 Replies
916 Views
Uzi ulikuwa kwaajili ya social experiment. Asanteni.
15 Reactions
135 Replies
7K Views
Una kila sababu na kupata umpendao... Pata wanawake wa mataifa mbalimbali na ongeza furaha hapa...
7 Reactions
80 Replies
2K Views
Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie...
2 Reactions
0 Replies
326 Views
Back
Top Bottom