Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam wadau Nina rafiki yangu nilisoma nae CBE miaka iliyopita bahati nzuri mwenzangu baada ya kumaliza chuo alikwenda marekani akaanza kujishughulisha na maswala ya ubinifu na ndio shughuli yake...
4 Reactions
253 Replies
81K Views
Waheshimiwa nina mgeni ambae sasa anaelekea kumaliza wiki akiwa hapa kwangu, ni binamu yangu huwa anaishi mkoani amekuja kwa shughuli zake binafsi, ataondoka atapokamilisha yaliyomleta...
41 Reactions
327 Replies
28K Views
Karibuni wanaume wote ma bikira tuweze ku share mambo kadhaa yanayo tuhusu, pia afya ya uzazi ili tuwe makini tukiingia kwenye mahusiano. Karibuni sana. Nb: Kama umewai piga mastarbation wewe...
11 Reactions
119 Replies
10K Views
Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa...
12 Reactions
82 Replies
7K Views
Tumezoeana kiasi cha kunifanya sasa hivi niwe serious na mpango wa kumwomba thawabu aliyojaliwa. Wandugu naombeni ushauri wa kisaikolojia juu ya suala hili kwa kuwa na yeye yupo tayari kunipatia...
6 Reactions
104 Replies
14K Views
Kwanini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na...
13 Reactions
212 Replies
25K Views
aisee watu mnapenda ubuyu.mnataka nifukuzwe kazi eeeh ? wakati nikiwapiga mzinga mnakuja na thread humu .acheni nijitafutie rizki bana maana bills zangu nalipa mwenyewe.pm yangu mmejaza lawama...
9 Reactions
237 Replies
19K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Mimi naomba kujua kwanini wanawake weusi huwaga ni watamu sana aisee Nimekuwa kwenye mahusiano na wanawake...
2 Reactions
36 Replies
24K Views
Ndugu wadau wa JF, mAISHA yangu ya sasa ya ujana, bado sijafanikiwa kukutana na mwanamke bikira kimwili. Japo nahisi ni jambo gumu mno katika maisha yetu ya mahusiano ya kimapenzi kwa sasa ya...
1 Reactions
143 Replies
22K Views
Ni ajabu! Mkesha wa mwaka mpya watu walijaa makanisani, viwanjani au mahemani kuomba wafanikiwe mwaka 2018. Waafrika kweli tu wavivu wa kufikiri, yaani uombewe ufanikiwe? Ubarikiwe? Huu ni...
31 Reactions
173 Replies
61K Views
Naombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili Kwa sababu...
4 Reactions
148 Replies
21K Views
Utafiti mpya unaonyesha kua wanaume wa kanda ya ziwa hupewa kipaumbele kikubwa na sehemu kubwa ya wanawake wa Tanzania. Utafiti huu unafanywa na taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na mambo...
14 Reactions
93 Replies
15K Views
Leo nimefurahia sana kituko kimetokea maeneo fulani nikaribu mastendi ya hapo na kwetu. Mudada alizoea kupewa lift na jamaa inavyosemekana kila siku asubuhi kama miezi mitatu hivi anakuja kwa huyo...
11 Reactions
143 Replies
12K Views
Kuna bidada next door kutokana na wenge la upwiru nikaweka kumbe mtoto wa watu kanogewa akaja kwenda kwao huko mji kasoro Sasa communication zikaendelea full kujibebisha mi namchora tu. Sasa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Nayasema haya nikiwa na simanzi moyoni hasa nikiwa katika wakati ambao mbili haisomi moja haisomi. Hii naomba iwafikie wagonga ulimbo wote asee kama bado kula yako tu ni ya kuunga unga kama...
16 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari, Imekua ikinitokea kwa mademu kadhaa naanza nao kwenye mahusiano ila baada ya kupeana mabusu mademu hao mawasiliano yanaisha hapo hapo na wengine wana block namba yangu, wa mara ya mwisho...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Twendeni taratibu limenikamata mwenzenu!, Mkeka umekaa hivi Janeth siku yake yakuzaliwa ni 23/2... ambayo ni leo!. Jackie nae mchepuko siku yake ya kuzaliwa ni 23/2.. ambayo pia ni leo!. Bongo...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Mahusiano ya miaka na nyakati hizi yamegubikwa na changamoto nyingi sana kutokana na kusokenana na mfumo rasmi wa kuratibu na kusimamia ustawi wake katika hatua za awali na kadiri muda unavyozidi...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike .. Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe.. Let's say mmedate, mmeunganisha...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom