I am sweet Mangii

I am sweet Mangii

Wewe demu utakuwa mzuri ebu nicheki kwa 0757195104
 
Mambo zenyu usiku huu,
Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ??
Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki
Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki na mtu jinsia tofauti???
hakuna tatizo, njoo tuwe marafiki hahaha
 
Katika maneno 10 mtakayozungumza 3 yatahusu uhusiano.....kama uhamini jaribu
 
Kwanini kichwa cha habari ni jina la wimbo ambao unazungumzia mwanamke mdangaji na mwanaume kakubali kua sponosor?
 
Nitajaribu
Ni vigumu pia jinsia tofauti kuwa na urafiki wa kudumu na mke/mume kwa muda mrefu bila kuonyesha hisia.ndio maana watu wakioa au kuolewa wanajaribu kuwa mbali na huo urafiki,kwani wakiendelea kuwa marafiki mwisho wake mara nyingi unakuwa sio mzuri.
 
Why ???
 
Mambo zenyu usiku huu,
Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ??
Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki
Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki na mtu jinsia tofauti???

Hujambo?

Nimekumiss wewe mtoto ujue!
 
Naona umemiss stress za mapenzi, upweke haujawahi muacha mtu salama!
Hakunaga kitu ka "Single but happy" ni maigizo tu, you need someone to love and feel loved..Its a basic need!
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ni sawa na urafiki wa Chui na swala.

Kuna siku chui atamla swala tu.
 
Back
Top Bottom