Wana jf, hivi juzi tu ndio nilitoka visiwa vya Ukerewe. Kuna kazi maalum ilinipeleka nyumba kwa nyumba(japo baathi tu). Cha kushangaza sana ni kuwakuta wanawake na wanaume wanaoga bila ya aibu...
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki...
Habari yenu wana MMU
Kama kawaida mimi napenda kusisitiza kwa moyo wote kila raia anatakiwa aweze kuzijua na kuziongoza hisia zake kwa usahihi na umakini wote.
Napenda kujikita zaidi kwa...
Author: Anonymous
Ni siku nyingi kidogo, mwaka 1979, lakini ni tukio ambalo liliniuma sana. Ilikuwa vigumu sana kulisahau na lilinifanya nijiulize, inakuwaje Mungu anakuwa mkatili kiasi kile...
Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu...
Habari wanajamvi wenzangu
Natumaini mko fiti ktk weekend hii, wengine mmepumzika kutokana na wingi wa shughuli za wiki iliyopita, na wengine mko pande tofauti mkisalimia ndugu na jamaa na...
Hivi inakuwaje, mume na mke mmejiunga kwenye mtandao wa kijamii kama Facebook then baada ya muda flani mume anampiga marufuku mke wake kutoingia Facebook tena, kisa wanaume wana like na kucomment...
Sikuwa hewani....nilikuwa bize na mgeni wangu!
Kwa wote mliokuwa mnafutilia issue ya mgeni wangu kutoka km 1000 kuja dar ijumaa jioni ! Ni hivi kama walivyoshauri wengi nilimpokea mimi na mke...
Nilikuwa napenda sana mahusiano ya mbali lakini sikuhizi siyataki baada ya mwenzangu kutoonyesha kuni..miss au kuwa na hamu na mimi wakati hatujakutana siku nyingi...Halaf simu yake hata akienda...
Hiyo sura unayoiona hapo juu ni ya mwanamke, ambaye amejiremba na kupendeza. Lakini kujiremba kwake hakujabadilisha sura yake halisi, kwani hata bila kujiremba angeweza kuonekana kama...
Jamani wanajamvi.
Mimi kijana miaka 30.Elimu ya chuo kikuu,natafuta mpenzi humu ndani,awe miaka 22-29. Mweupe au maji ya kunde,sio mnene sana au mwembamba.dini awe mkristo.
Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!
Katika mahusiano vigezo vya walio wengi katika mahusiano kwa wapenda na wapendwa ni sura, mavazi, mivao, miondoko, maumbile, nywele, rangi na mengine mengi sana pamoja na hali ya uchumi.
Kuna...
Habari zenu ndugu zangu.
Wapendwa jambo hili limenifanya nikose raha cku ya leo (8.3.2013).
Majira ya saa saba mchana nilimpigia supervisor wangu simu kujua yuko wapi ili nimpatie kazi yangu ya...
Kwenye maisha ya binadamu wakati mwingine mtu hulazimika au huamua kuingia kwenye mahusiano na mtu mwingine kwa mara moja tu. Mahusiano haya ambayo hayana lengo la kuishia kuwa wanandoa hufanywa...
Kwa miongo kadhaa nimekuwa kwenye mahusiano (Siyo Mapenzi) na uzowefu nilioupata ni mkubwa sana na kwa sehemu natumia JF kushirikisha wengine. Kwa ujuzi wangu kwenye mahusiano kati ya Mwanamke na...
HOW TO KNOW A PLAYER ON FACEBOOK!!!
1. He will be calling you sweet names in your inbox....but on your wall he or she call you "dear" or your name..........
2. If you comment on his photo...he...
Raia mmoja wa Uingereza amekamatwa akifanya mapenzi na Ambulensi.. hii ni Baada ya ya Bwana Callum Ward mwenye umri wa miaka 25 kujipasha mtotisha kwa kula njugu karanga. Baada ya kepelekwa...
ndugu zangu nimekua nikifuatilia kuwa miguno na sauti huchochea kujituma katika kuhakisha mnapeana raha,je kuna ulazima hata kama hauhisi raha kutoa sauti ili kumridhisha mwenzi wako kama anafaa...