Nisaidieni.

Nisaidieni.

4realy

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
78
Reaction score
16
Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane jaman nsaidien
 
Kupenda kupo ndani ya Kujali...kama unakijali kitu au mtu basi lazima hali hiyo iambatane na kupenda.
Lakini kupenda pekee sio lazima ujali, ni ile hali ya kutimiliza kiu ya uhitaji. Mathalani unaweza kulipenda gari la rafikiyo ila kwa kuwa halipo katika himaya yako huwezi kusema unalijali.
Kujali ni zaidi, huambatana na kutunza au kuthamini kile ukipendacho.
 
Pole sana, kwani imekuwaje?

Arif niaje? Hujalalamo mpaka mida hii? Hebu nambie ushafanya uchunguzi ukajua kama huyu mtu ni he au she?
 
Aisee mpwa ninafunga mafaili ya MMU kabla ya kilalamo...
Huyu kwa mwandiko wake, inaonesha ni SHE...
 
Ahsante kwa taarifa mpwa, ngoja ni do the needful.
 
Kukujali ni matendo..nakupenda hata kwenye kanga ipo.
Anakupenda tuu af iweje ..muhimu akujali.. Hela(matunzo),mawazo mazuri, faraja..ya akili na mwili, anajali afya yako,hisia zako, anakuheshimu maana kisaikolojia atakuwa anakujali.
Aoneshe he/she is there for u whenever ue up or down no matter what happen.
Ila hii nakupenda chaaa hata Jk anawaambiaga wananchi wake wanaokufa njaa,wanaolala watatu wodini,...
yan mtu yoyote anaweza sema Nakupenda..ila meaning ikawa tofauti!
Anaekupenda akimaanisha anakijali, hawez kukufanya ulie au usononeke.
 
Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane jaman nsaidien

I just come to you jesus with the heart of worship its all about you Jesus, i am very sorry for how I sin against you Lord, its all about you Jesus....
 
mimi je?
Kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.

Utakuwepo kwenye mashindano ya nyama choma?

Twende tukashow love kwa Fyatanga

Wewe tena? Wewe ni malovee tu. :A S-heart-2:

Afu unajua navokumisi we msichana?
 
mimi je?
Kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.

Utakuwepo kwenye mashindano ya nyama choma?

Twende tukashow love kwa Fyatanga
Unaulizia meno mdomoni? Saa nne kamili natia timu Leaders.

Fyatanga na iheshimiwe na watu wote.
 
natafuta twisheni ya kuibia watu mapenzi na kuwatapeli. unaweza kunielekeza chuo husika? ai amu fomu foo gradyuate (source: le mutuz)
mimi je?
Kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.

Utakuwepo kwenye mashindano ya nyama choma?

Twende tukashow love kwa Fyatanga
 
ha ha ha, kuibia mapenzi?

Hayo makitu siyajui, labda Kaunga ana uzoefu wa kumtapeli serengeti boi wake.

natafuta twisheni ya kuibia watu mapenzi na kuwatapeli. unaweza kunielekeza chuo husika? ai amu fomu foo gradyuate (source: le mutuz)
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, kuibia mapenzi?

Hayo makitu siyajui, labda Kaunga ana uzoefu wa kumtapeli serengeti boi wake.

Jamani mimi ni muhanga; mwaya my Wifi, niliona bandiko la kuwachuna jamaa mtandaoni (JF) ngoja nami nipate twisheni.
 
Last edited by a moderator:
Umekuwa muhanga lini? Afu naona unammendea kid wangu Blaine?

Jamani mimi ni muhanga; mwaya my Wifi, niliona bandiko la kuwachuna jamaa mtandaoni (JF) ngoja nami nipate twisheni.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane jaman nsaidien
wahanga wa mapenzi watakujibu hii mada
 
I just come to you jesus with the heart of worship its all about you Jesus, i am very sorry for how I sin against you Lord, its all about you Jesus....
King of endless worth
No one could express
How much You deserve
Though I'm weak and poor
All I have is Yours
Every single breath ; I'll bring You more than just a song.................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom