yaani hapa sitoki mpaka Wanaume waje watuambie wakiambiwa I miss u wanawaza nini, lol!
mwenzangu mimi hata sijui kidhungu..... ndo umesemaje hapa?when mshua tells you "miss you" what impression do you get? use the impression to continue waiting . .. . for men's answers
when mshua tells you "miss you" what impression do you get? use the impression to continue waiting . .. . for men's answers
yaani hapa sitoki mpaka Wanaume waje watuambie wakiambiwa I miss u wanawaza nini, lol!
Ngono tu ndo wanawaza.
Napata maswali mengi kichwani mwangu! Mpenzi wako akikwambia nimekumis huwa anamaana gani? Maanake most male partners wanadhania kugegedana 2! Nisaidie wana jf!
mwenzangu mimi hata sijui kidhungu..... ndo umesemaje hapa?
ha haaa, unawaza nini?I miss you FP
nilitaka tu kujua kama unajua kiswahili, lol!Mbona miss you unaijua? Nasema kama baba yako akikuambia miss you unapata mawazo gani? sasa mawazo unayopata tumia kusubiria wanaume waje wakwambie. Mimi huwa nikiambiwa miss you najua sijaonekana kwake muda kikawaida.
Ungetaja tofauti na ngono ningeshangaa
nilitaka tu kujua kama unajua kiswahili, lol!
maana umeingia na mkwala wa kidhungu nikajua kiswahili hakipandi,
got you, lol!
yaani hapa sitoki mpaka Wanaume waje watuambie wakiambiwa I miss u wanawaza nini, lol!
he he heeeee:shut-mouth:ngoja nifike eneo la kujidai af nisongeshe mada. si unajua nina maslahi binausi na hii phrase